SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile dhana ya kilimo kwanza ni pana sanaSiasa ni kilimo
Acha Wabunge wa upinzani waendelee kupeleka mavuno ccm
Umenena vema!Hii ndio sayansi ya siasa bwana mdogo
Sio Ile ya kubadili gia angani
Ueni kabisa vyama vya upinzani ruzuku yote ije kwenu.Kadhalika Dr Magufuli amewapongeza wanaccm kwa kuwapokea wabunge na madiwani waliotokea upinzani kwani ujio wao umeiongezea ruzuku CCM kutoka sh bilioni 12 mwaka 2015/16 hadi zaidi ya sh bilioni 13 mwaka 2018/19
Usigope bwashee!Ueni kabisa vyama vya upinzani ruzuku yote ije kwenu.
Khaa Pinda naye anashikwa na ugonjwa gani? Sasa utmuombaje mtu afanye kitu ambacho hakiruhusiwi na katiba na si hivyo tu pia una amini unaemuomba hawezi kukubaliMzee Pinda amesema japo katiba hairuhusu lakini kutokana na utendaji uliotukuka wa Rais Magufuli anamuomba Rais Magufuli atawale walau kwa miaka 15 badala ya ile 10 ya kikatiba.......japo anaamini kuwa Dr Magufuli hawezi kukubali.
sura mbovu mawazo mabovu
BWASHEE Joni mbatizaji: Hainiogopeshi, organised upinzani wa vyama ukifa kama CCM wanavyotaka, watakutana na upinzani ulio nje ya mfumo. Ni juu yenu kuamua kipi mkitakacho.Usigope bwashee!
Wazee wengine ni laana sio hazinaWazee ni hazina kwa taifa..
Mzee Pinda katoa dira..Watanzania tumuunge mkono.
Kwa hakika watanzania tumebarikiwa sana
Uhuru wa mawazo ndio demokrasia.sura mbovu mawazo mabovu
Hakika mzee pinda aliyoyasema anafaa kupingezwa!raisi wetu tunaomba ukubali tukuingezee mda ukamilishe miradi yako sisi hatuna shida na wewe katiba ni yetu wqnanchi tunaweza kubadilisha mda wowoteMwenyekiti wa CCM Dr Magufuli amewashukuru wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hichi kwa maamuzi mbalimbali waliyoyachukua katika kuleta mabadiliko.
Kwa mfano kamati ya kufuatilia mali za chama iliyoongozwa na Dr Bashiru iligundua ufisadi mkubwa kwenye mali za chama.
Baada ya kamati ya Dr Bashiru kumaliza kazi yake tumefanikiwa kurejesha mali nyingi mikononi mwa chama na kurekebisha baadhi ya mikataba ikiwemo ya Vodacom na jengo la HQ ya UVCCM.
Pia kituo cha habari cha Channel ten kimerejeshwa chamani.
Kwa sasa mapato ya CCM ni zaidi ya sh bilioni 59 kwa mwaka na thamani ya mali zake ni zaidi ya sh bilioni 900
Kadhalika Dr Magufuli amewapongeza wanaccm kwa kuwapokea wabunge na madiwani waliotokea upinzani kwani ujio wao umeiongezea ruzuku CCM kutoka sh bilioni 12 mwaka 2015/16 hadi zaidi ya sh bilioni 13 mwaka 2018/19
Dr. Magufuli anaihutubia NEC ya CCM jijini Mwanza muda huu na tukio liko mubashara Channel ten.
Mzee Pinda amesema japo katiba hairuhusu lakini kutokana na utendaji uliotukuka wa Rais Magufuli anamuomba Rais Magufuli atawale walau kwa miaka 15 badala ya ile 10 ya kikatiba.......japo anaamini kuwa Dr Magufuli hawezi kukubali.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama
Kwenye buku saba umeongezewa Sh ngp boya weweSiasa ni kilimo
Acha Wabunge wa upinzani waendelee kupeleka mavuno ccm
Kichwa maji weweNa bado waje wote tu waache kupigwa makato kwenye mishahara yao na mbowe
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli amewashukuru wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hichi kwa maamuzi mbalimbali waliyoyachukua katika kuleta mabadiliko.
Kwa mfano kamati ya kufuatilia mali za chama iliyoongozwa na Dr Bashiru iligundua ufisadi mkubwa kwenye mali za chama.
Baada ya kamati ya Dr Bashiru kumaliza kazi yake tumefanikiwa kurejesha mali nyingi mikononi mwa chama na kurekebisha baadhi ya mikataba ikiwemo ya Vodacom na jengo la HQ ya UVCCM.
Pia kituo cha habari cha Channel ten kimerejeshwa chamani.
Kwa sasa mapato ya CCM ni zaidi ya sh bilioni 59 kwa mwaka na thamani ya mali zake ni zaidi ya sh bilioni 900
Kadhalika Dr Magufuli amewapongeza wanaccm kwa kuwapokea wabunge na madiwani waliotokea upinzani kwani ujio wao umeiongezea ruzuku CCM kutoka sh bilioni 12 mwaka 2015/16 hadi zaidi ya sh bilioni 13 mwaka 2018/19
Dr. Magufuli anaihutubia NEC ya CCM jijini Mwanza muda huu na tukio liko mubashara Channel ten.
Mzee Pinda amesema japo katiba hairuhusu lakini kutokana na utendaji uliotukuka wa Rais Magufuli anamuomba Rais Magufuli atawale walau kwa miaka 15 badala ya ile 10 ya kikatiba.......japo anaamini kuwa Dr Magufuli hawezi kukubali.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama
Nadhani angetakiwa awataje baadhi ya marais ambao hawakuwa na uchungu na nchiMzee pinda umenena sawa Rais mwenye uchungu na Nchi aongezewe muda
Huu ni ukichaaaLazima kumpongeza na ni lazima kumshukuru.
,Rais dokta muweza wa yote na asieshindwa kwa lolote.” TEAM KUABUDU/KUSUJUDIA