1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Demokrasia gani ya kudumu madarakani na kuweka watu wa kumpitisha kwa rushwa kwenye kila uchaguzi?mutaenda mahakamani wewe na nani?????? pls hii sio ccm ambapo weyeketi wenu jiwe alipita kwa 100%, hii ni democracy, hatuna huo ushamba wa yiyi wanaccm, tena kaa wewe umemuchoka mhe mbowe, sisi wengine bado yeye ni shujaa kwetu, so peleka hizo story zako kwa pole pole
Chama kimetia aibu kwa kushindwa kuandaa viongozi wake mpaka kinahalalisha Usanii.asante sana afisa, itakuwa ni ujinga wa ajabu kumchagua cecil mwambe, damu yake huyu mama ni ya ccm, sijui nani ataweza kumpa kura
Wajumbe wataamua, angalau chadema wameonyesha njia.sio ccm...Katiba ya Chadema ilibadilishwa kwaajili ya Mbowe kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa chama kama kina Mrema, Lipumba, cheyo, Hashim rungwe spunda, dovutwa n.k
kwahiyo usitegemee Cecil mwambe kushinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishasema chadema ni kibubu cha mbowee , akishinda mwambe nitajua chadema nichama cha siasa kweli.
Chadema kitakuwa chama cha kipumbavu kama hakijajifunza aliyofanya Lowasa.Cecil Mwambe ametimiza haki yake ya kidemokrasia ila atakayempigia kura eti awe mwenyekiti wa Chadema atakuwa mwehu kwelikweli! Yani wewe ni mwanamchama kweli wa Chadema then unatoka kwako kwenda kumchagua Cecil Mwambe mtu aliyehamia 2015 akitokea CCM awe mwenyekiti! Emb tuache mzaha bwana!
Tangu uolewe na mbowe umekuwa takatakawewe ni mchepuko wa polepole hapo lumumba
inasemekana wewe sio rizki
Wewe ni kiziwi na ni kipofu; huoni au husikii chochote kinachotokea katika mazingira yaliyopo.Chama kimetia aibu kwa kushindwa kuandaa viongozi wake mpaka kinahalalisha Usanii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo wajumbe lazma waamue kwa matakwa ya MboweWajumbe wataamua, angalau chadema wameonyesha njia.sio ccm...
Nawatakia uchaguzi mwema na uwe huru na wazi.
Toka lini mbona hukuenda kwenye matokeo ya serikali za mitaa?Cecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Haliwezi kumkataa.Hana kosa la kumzuia kugombea
Huyo hajitambui mkuu
Naona umetoka kwenye uganga umekwenda kwenye uchawiCecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Je wanaocheza michezo ya kuigiza tengeneza tatizo ondoa tatioSiasa za Tanzania katika ubora wake wa kisanii!
Mwambe ni ccm mwenzenu nikweli asiposhinda nendeni mahakamani maaana haiwezekani mmetumia pesa nyingi kumnunua alafu mambo yasiende inavyotakiwaCecil Mwambe asiposhinda tutaenda mahakamani , tunajua wajumbe wengi wamemchoka Mbowe hivyo hawezi kushinda . Mbowe akishinda huo uchaguzi ni batili
Huu Ni uzushi mbona alipewa ujumbe Wa kamati kuu?Huyo bwana sijui Mwambe ni ccm mole in Chadema and that's evident. The world will never allow the mercenary to command the battle hardened army.
Huyo Mwambe ana mwaka moja tu Chadema baada ya hapo anarejea ccm. Huyu ccm wanamtafutia uwenyekiti hapo ili akigeuze chama kiwe another TLP, UDP, CUF etc. Hafai hata bure.