Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwasemea kwa mamlaka ipi? Wakati wizi umebarikiwa na rais, waziri mkuu, spika na majaji.
Hao wabunge watakaokuwa bungeni watakuwa wamepatikana kwa uchaguzi gani (halali) na watakuwa wanalalamika uchaguzi gani (haramu)?
Mpk hapa tayari kuna mgawanyiko ndani ya upinzani. Wapo wanaotaka wabunge waende kwa maslahi mapana ya wao na matumbo yao na jamaa zao. Wapo wanasema wasiende kwa maslahi mapana ya chama. Kazi kwao.
Mkuu kususa kutawaumiza Sana. Watakosa fedha za kuendeshea serikali yao.
Zanzibar hawakupata taabu hii kwasabb walibebwa na bara. Halafu Zanzibar siyo nchi kwa mujibu wa katiba yetu. Subiri mbinyo atakaoupata Magufuli na CCM. Wataomba poo.
Unadhani Ile hand shake ya Uhuru na Odinga ilikuja kwa hiari ya Uhuru?
Wengi wetu tunaangalia tuu, upande wa CCM, sisi hatujaweza kuimarisha vyama vyetu, na hili ni la lazima sana kabla ya kutaka mengine. Mfano : Wakati nipo Hai katika Uchaguzi mkuu, wajumbe ambao watasimamia vituo vya kupiga kura,Njia pekee ya kuleta significant impact ni maandamano, tatizo hatuiwezi, nyingine zote ni kupoteza muda tu.
Chadema, kujiimarisha na kujiporomosha vyote viko mikononi mwenu.
Bora kufa kishujaa kuliko kuishi ukiwa unamuabudu, unasujudu, na kumsifu nyapara jiwe
Ulishiriki hicho kikao?Kuna mnyukano huko wa hatari kina Matiko, Mdee, Bulaya, Magelesi and the likes wameunda women wing kushinikiza kamati kuu kuwaruhusu wateuliwe na kushiriki bingeni kama viti maalum, vinginevo wakiwahama wasilalamike.
majina wakipeleka me nitaamia kwa ZZK tu siwez kushabikia unafki...Kamati isipeleke majina wachaguane wenyewe. Si wanasema wapinzani ndio wanachelewesha maendeleo?
Kamati ikipeleka majina nitasononeka sana
Na hicho kipande kimoja ccm wanatambua kwamba hakito watosheleza, hivyo mpango kazi hapo ni kuwagombanisha kwa kipande kimoja cha nyamaCCM baada ya kukwapua bakuli zima la nyama..sasa wanawatupia CDM kipande kimoja cha nyama kuwapima imani.!!
Vipi Zitto nae akipeleka?majina wakipeleka me nitaamia kwa ZZK tu siwez kushabikia unafki...
ACT haijafikia kigezo cha kupatiwa viti maalumu.Vipi zito nae akipeleka?