Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Nimeipenda sana hiiMkuu acha waende tu.. Maisha magumu mtaani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda sana hiiMkuu acha waende tu.. Maisha magumu mtaani..
Wangegomeaje uchaguzi wakati walishakula vya watu😂😂Kwa nini hawakuugomea uchaguzi?
Wangegoma kabisa na kushiriki uchaguzi basi.
Kigogo pia ana uhuru wa kutoa maoni yake.Soma comment hizo za raia watu wanamachungu wamechukizwa na hoja hiyo
Mie nilishapendekeza kwamba CCM na Magufuli need to learn their lesson. Wapinzani wasijishughulishe kabisa na hili BUnge, hata wale wapinzani walioshinda ubunge nilipendekeza wajiuzulu..
Option ya mahakamani waachane nayo, credibility ya mahakama kwa sasa ipo chini sana.Walioshinda ubunge kama yule dada wa Nkasi aende bungeni (japo namtilia shaka nyendo zake), viti maalum nao waende bungeni, na wale wanaoona wameonewa kwenye majimbo yao hawakushindwa kihalali waende mahakamani...
Zanzibar kimeeleweka kitu gani?
Hiyo Women wing Bora ihame Tu,kuingia Bungeni baada ya dhulma na unyanyasaji waliofanyiwa ni ujinga wa hali ya juu, Dunia itawashangaKuna mnyukano huko wa hatari kina Matiko, Mdee, Bulaya, Magelesi and the likes wameunda women wing kushinikiza kamati kuu kuwaruhusu wateuliwe na kushiriki bingeni kama viti maalum, vinginevo wakiwahama wasilalamike.
Kiongozi hapa hakuna la kuongeza zaidi ya kupongeza kwa ulichokiweka hapa. Wachukue ushauri huu kinyume cha hapo Watanzania tutakatishwa tamaa. Libaki bunge la kijani tu ili tuone maendeleo.Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja..
Wahame tu. Upinzani kuanza upya inaweza kuwa na afya zaidi kuliko kuwa na hao wenye uroho wa posho za ubunge uliotokana na uchaguzi ulioacha majeraha kwa Watanzania wengi.Kuna mnyukano huko wa hatari kina Matiko, Mdee, Bulaya, Magelesi and the likes wameunda women wing kushinikiza kamati kuu kuwaruhusu wateuliwe na kushiriki bingeni kama viti maalum, vinginevo wakiwahama wasilalamike.
Njia ya maridhiano kwangu naiona danganya toto tu, kila siku ataendelea kupewa namba mbili hata kama alistahili kuwa namba moja.Zenji tayari nia ya maridhiano tayari inanukia na emissaries tayari wako kazini na jahazi liko katika kung'oa nanga.
Tatizo ni huu uvuguvugu wetu na kudhani tunaweza kupata kote bila ya kupoteza...
Hivi CHADEMA na upinzani kwa ujumla wanazipata hoja nzito kama hizi? Kinyume na hapa wataonekana wapo kwaajili ya maslahi na kuwavunja mioyo Watanzania.Mie nilishapendekeza kwamba CCM na Magufuli need to learn their lesson. Wapinzani wasijishughulishe kabisa na hili BUnge, hata wale wapinzani walioshinda ubunge nilipendekeza wajiuzulu...
Afadhali ibaki CCM kuliko siasa zinazoendeshwa bila mizani sawa kwa maslahi ya chama kimoja. Endeleeni na bunge la chama kimoja bila wale wapinga maendeleo ili tuone mkituletea Watanzania maendeleo kwa kasi.Walioshinda ubunge kama yule dada wa Nkasi aende bungeni (japo namtilia shaka nyendo zake), viti maalum nao waende bungeni, na wale wanaoona wameonewa kwenye majimbo yao hawakushindwa kihalali waende mahakamani...
Huyo jamaa nadhani ni wale wanaoteseka kukosekana wabunge wa upinzani Bungeni.Mm naona unajichanganya tu kwenye maelezo yako. Hueleweki unapinga nini na unaunga mkono nini...