Kabisa mkuu. Kwahiyo kumjaza upepo Lisu kwamba akaidi maagizo ya tume ya kusitisha kampeni ni kujidanganya. Watamfuta na hakuna kitu CCM watapoteza. Na mabeberu hawatawafanya kitu CCM. Sana Sana wakiweka vikwazo tutakaoumia ni wananchi.tuweni wa kweli utawala wa haki na sheria hautajengwa na mashinikizo ya mabeberu lazima ziwe juhudi za ndani ya nchi kutoka kwa wananchi wenyewe.
kamwe tusijidanganye kuwa ccm na taasisi zake watatenda haki kwa hiari hili haliwezekani na halitawezekana.
Hizi ndoto zenu za mchana huwa haziishi, juzi mlikuja na kauli kuwa Mbowe hamtaki lissu ndio maana akaahorisha mkutano wa hai. Kilichotokea kilimanjaro wenyewe mkazima sigara.CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Ulizaliwa siku 1 iposiku utaitwa marehemu amini yupowapi mubutu yupowapi hatawewe tambua utapitaUshauri tu.
Kuweni Makini, Msije mkawaletea matatizo hata wale wasio husika.
No one is above the Law.
Hizi ndoto zenu za mchana huwa haziishi, juzi mlikuja na kauli kuwa Mbowe hamtaki lissu ndio maana akaahorisha mkutano wa hai. Kilichotokea kilimanjaro wenyewe mkazima sigara.
Muulize aliyekupa story za kuwa mbowe kajittenga na lissuMbowe amejitenga na lissu, Kilimanjaro kilitokea kitu gani
Tumeshindwa kupigania haki za vijana wa BAVICHA wanaoteseka gerezani Singida.Kabisa mkuu. Kwahiyo kumjaza upepo Lisu kwamba akaidi maagizo ya tume ya kusitisha kampeni ni kujidanganya. Watamfuta na hakuna kitu CCM watapoteza. Na mabeberu hawatawafanya kitu CCM. Sana Sana wakiweka vikwazo tutakaoumia ni wananchi.
Unatakiwa uelewe kwamba sheria ni makubaliano tu ya kundi la watu ili waweze kuishi pamoja kwa amani.Waulize kwanini wengi wao wanatii sheria za uchaguzi; kama NEC hawana rungu ilo?
OK labda kufuta CDM yote kushiriki uchaguzi might be extreme lakini matatizo ya Lissu adhabu zake CDM yote lazima iyabebe kwa namna moja au nyingine.
Ukweli mchungu huuTumeshindwa kupigania haki za vijana wa BAVICHA wanaoteseka gerezani Singida.
Tumeshindwa kupigania haki za wagombea walioenguliwa.
Tusijifariji tuamue kama tunakubali kutawaliwa na ccm kwa mabavu or else twende barabarani.
Short of that hakuna kitakachobadilika.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kelele za mlango hizoMihemuko na akili chakavu.Wewe ni CHADEMA ambao inaelekea kabisa hamumtaki Lissu.Akiendelea na Jeuri inaweza ikaja adhabu mbaya zaidi ambayo muathirika atakuwa ni Lissu. CHADEMA ni taasisi kubwa itapata michubuko tu lakini itaendelea kuwepo na Mwenyekiti na viongozi wengine wataendelea kuwepo.Kutokana na michubuko ya CHADEMA itakayosababishwa na tabia mbaya ya mtu mmoja,wataanza kumchukulia hatua na hatma yake ni Lissu kufukuzwa CHADEMA.Kwa ushauritu,Lissu afuate taratibu na hatua zinazochukuliwa kwake.
Wanajichochea humu,lakini mtaani hatuoni hata pua zao!Ni mitaa gani hiyo Moto umechochewa...tunachoona sisi wengine kwenye mitaa mingi watu wanaendelea na shughuli zao wakisubiri hiyo oktoba 28...lakini labda mtaa wa mitandao ndiko tunaona baadhi wanafurukuta..
Msimpe kiburi atii amri tunya siku 7 la sivyo atafungiwa kbs kamoeniCCM hawajamjua Lissu vizuri, ingekuwa ni binadamu wa aina yangu na wewe msomaji basi baada ya kupona risasi zote zile tusingethubutu hata kurudi Tanzania, achilia mbali kupaza sauti kwenye uwanja wa siasa cc (Ulimboka). Wanaiweka rehani amani ya nchi kwa maamuzi ya kijuha!
Pamoja ni batili ila kapewa mtego akijifanya kiburi Time inampiga lingine halafu hamtashtaki popote maana ni uhuru wa tume. Ndio maana polisi wamejitoaMaamuzi yote waliyofanya kwa Lissu ni batili. Tangu mwanzo mpaka sasa walipofikia. Lissu tangu mwanzo alionyesha msimamo wa kiume. Mbinu zote wanazotumia CCM ni kupima mapigo yatakuwaje. Mbinu moja juu ya nyengine yote ni kuangalia wapi ni penye udhaifu. Udhaifu wowote atakaonyesha Lissu atakuwa ameshakwisha.
Hata mzee mwenye betri la solar moyoni aliwahi kujipa moyo lakini leo anaugulia spana kila siku anaumwaCHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Sema vizuri mitaa ulipo wewe ni Lumumba, hamna amani ni wasiwasi mtupu, policcm wanashindwa, media coverage haina impact, tumeccm inaelekea kushindwa, wizi wa kura mazingira magumu. PoleniNi mitaa gani hiyo Moto umechochewa...tunachoona sisi wengine kwenye mitaa mingi watu wanaendelea na shughuli zao wakisubiri hiyo oktoba 28...lakini labda mtaa wa mitandao ndiko tunaona baadhi wanafurukuta..
Ulitaka tumsimamishe nani, Kinana?Sawa.
Wakati utaongea na Mtajuta kumsimamisha T.Lissu kama mgombea wenu wa Urais Tz.
Tatizo lako unataka tuwe wapumbavu kama misukule ya Lumumba, this time around tumejitambua.Kitu nachokiona kwa sisi washabiki wa chadema ni hizi jazba na ujuaji, ila nachoshukuru suala hili halijafika kwa viongozi wa juu, hizi jazba na ujuaji vimebaki kwa washabiki hasa huku mitandanoni.
Kila mtu mjuaji, kila mtu mshauri.
Tatizo lako unataka tuwe wapumbavu kama misukule ya Lumumba, this time around tumejitambua.
Kukosa kujitambua kwako kumekufanya ushindwe kuona, mwamko na ukomavu wa wananchi.
Endelea kuota
Mavi ya kukuCHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October