Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

tuweni wa kweli utawala wa haki na sheria hautajengwa na mashinikizo ya mabeberu lazima ziwe juhudi za ndani ya nchi kutoka kwa wananchi wenyewe.
kamwe tusijidanganye kuwa ccm na taasisi zake watatenda haki kwa hiari hili haliwezekani na halitawezekana.
Kabisa mkuu. Kwahiyo kumjaza upepo Lisu kwamba akaidi maagizo ya tume ya kusitisha kampeni ni kujidanganya. Watamfuta na hakuna kitu CCM watapoteza. Na mabeberu hawatawafanya kitu CCM. Sana Sana wakiweka vikwazo tutakaoumia ni wananchi.
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Hizi ndoto zenu za mchana huwa haziishi, juzi mlikuja na kauli kuwa Mbowe hamtaki lissu ndio maana akaahorisha mkutano wa hai. Kilichotokea kilimanjaro wenyewe mkazima sigara.
 
Mbowe amejitenga na lissu, Kilimanjaro kilitokea kitu gani
Hizi ndoto zenu za mchana huwa haziishi, juzi mlikuja na kauli kuwa Mbowe hamtaki lissu ndio maana akaahorisha mkutano wa hai. Kilichotokea kilimanjaro wenyewe mkazima sigara.
 
Kabisa mkuu. Kwahiyo kumjaza upepo Lisu kwamba akaidi maagizo ya tume ya kusitisha kampeni ni kujidanganya. Watamfuta na hakuna kitu CCM watapoteza. Na mabeberu hawatawafanya kitu CCM. Sana Sana wakiweka vikwazo tutakaoumia ni wananchi.
Tumeshindwa kupigania haki za vijana wa BAVICHA wanaoteseka gerezani Singida.

Tumeshindwa kupigania haki za wagombea walioenguliwa.

Tusijifariji tuamue kama tunakubali kutawaliwa na ccm kwa mabavu or else twende barabarani.

Short of that hakuna kitakachobadilika.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Waulize kwanini wengi wao wanatii sheria za uchaguzi; kama NEC hawana rungu ilo?

OK labda kufuta CDM yote kushiriki uchaguzi might be extreme lakini matatizo ya Lissu adhabu zake CDM yote lazima iyabebe kwa namna moja au nyingine.
Unatakiwa uelewe kwamba sheria ni makubaliano tu ya kundi la watu ili waweze kuishi pamoja kwa amani.

Ni karatasi zenye makubaliano. Ungekuwa kwenye nafasi ya kuhakikisha kuwa sheria zinafuatwa na ni mambo gani yakifanyika na kwa wakati gani yakifanyika yanaweza yakasababisha sheria isiwe na maana tena ungeelewa ni kwann huwezi ifuta chadema kipindi hichi cha kampeni.
 
Tumeshindwa kupigania haki za vijana wa BAVICHA wanaoteseka gerezani Singida.

Tumeshindwa kupigania haki za wagombea walioenguliwa.

Tusijifariji tuamue kama tunakubali kutawaliwa na ccm kwa mabavu or else twende barabarani.

Short of that hakuna kitakachobadilika.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ukweli mchungu huu
 
Mihemuko na akili chakavu.Wewe ni CHADEMA ambao inaelekea kabisa hamumtaki Lissu.Akiendelea na Jeuri inaweza ikaja adhabu mbaya zaidi ambayo muathirika atakuwa ni Lissu. CHADEMA ni taasisi kubwa itapata michubuko tu lakini itaendelea kuwepo na Mwenyekiti na viongozi wengine wataendelea kuwepo.Kutokana na michubuko ya CHADEMA itakayosababishwa na tabia mbaya ya mtu mmoja,wataanza kumchukulia hatua na hatma yake ni Lissu kufukuzwa CHADEMA.Kwa ushauritu,Lissu afuate taratibu na hatua zinazochukuliwa kwake.
Kelele za mlango hizo
 
Ni mitaa gani hiyo Moto umechochewa...tunachoona sisi wengine kwenye mitaa mingi watu wanaendelea na shughuli zao wakisubiri hiyo oktoba 28...lakini labda mtaa wa mitandao ndiko tunaona baadhi wanafurukuta..
Wanajichochea humu,lakini mtaani hatuoni hata pua zao!
 
CCM hawajamjua Lissu vizuri, ingekuwa ni binadamu wa aina yangu na wewe msomaji basi baada ya kupona risasi zote zile tusingethubutu hata kurudi Tanzania, achilia mbali kupaza sauti kwenye uwanja wa siasa cc (Ulimboka). Wanaiweka rehani amani ya nchi kwa maamuzi ya kijuha!
Msimpe kiburi atii amri tunya siku 7 la sivyo atafungiwa kbs kamoeni
 
Maamuzi yote waliyofanya kwa Lissu ni batili. Tangu mwanzo mpaka sasa walipofikia. Lissu tangu mwanzo alionyesha msimamo wa kiume. Mbinu zote wanazotumia CCM ni kupima mapigo yatakuwaje. Mbinu moja juu ya nyengine yote ni kuangalia wapi ni penye udhaifu. Udhaifu wowote atakaonyesha Lissu atakuwa ameshakwisha.
Pamoja ni batili ila kapewa mtego akijifanya kiburi Time inampiga lingine halafu hamtashtaki popote maana ni uhuru wa tume. Ndio maana polisi wamejitoa
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Hata mzee mwenye betri la solar moyoni aliwahi kujipa moyo lakini leo anaugulia spana kila siku anaumwa
 
Ni mitaa gani hiyo Moto umechochewa...tunachoona sisi wengine kwenye mitaa mingi watu wanaendelea na shughuli zao wakisubiri hiyo oktoba 28...lakini labda mtaa wa mitandao ndiko tunaona baadhi wanafurukuta..
Sema vizuri mitaa ulipo wewe ni Lumumba, hamna amani ni wasiwasi mtupu, policcm wanashindwa, media coverage haina impact, tumeccm inaelekea kushindwa, wizi wa kura mazingira magumu. Poleni
 
Ni mitaa gani hiyo Moto umechochewa...tunachoona sisi wengine kwenye mitaa mingi watu wanaendelea na shughuli zao wakisubiri hiyo oktoba 28...lakini labda mtaa wa mitandao ndiko tunaona baadhi wanafurukuta..
[/QUOTE]
Nyie ndo mlimpoteza meko kwamba upinzani umekufa sasa hivi Baba wa watu siku moja kampeni ya pili gereji
 
Kitu nachokiona kwa sisi washabiki wa chadema ni hizi jazba na ujuaji, ila nachoshukuru suala hili halijafika kwa viongozi wa juu, hizi jazba na ujuaji vimebaki kwa washabiki hasa huku mitandanoni.
Kila mtu mjuaji, kila mtu mshauri.
Tatizo lako unataka tuwe wapumbavu kama misukule ya Lumumba, this time around tumejitambua.

Kukosa kujitambua kwako kumekufanya ushindwe kuona, mwamko na ukomavu wa wananchi.

Endelea kuota
 
Wewe ni mjinga,
Tatizo lako unataka tuwe wapumbavu kama misukule ya Lumumba, this time around tumejitambua.

Kukosa kujitambua kwako kumekufanya ushindwe kuona, mwamko na ukomavu wa wananchi.

Endelea kuota
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Mavi ya kuku
 
Back
Top Bottom