Kabisa mkuu. Kwahiyo kumjaza upepo Lisu kwamba akaidi maagizo ya tume ya kusitisha kampeni ni kujidanganya. Watamfuta na hakuna kitu CCM watapoteza. Na mabeberu hawatawafanya kitu CCM. Sana Sana wakiweka vikwazo tutakaoumia ni wananchi.tuweni wa kweli utawala wa haki na sheria hautajengwa na mashinikizo ya mabeberu lazima ziwe juhudi za ndani ya nchi kutoka kwa wananchi wenyewe.
kamwe tusijidanganye kuwa ccm na taasisi zake watatenda haki kwa hiari hili haliwezekani na halitawezekana.