Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

Duuu
IMG-20201003-WA0006.jpg
 
Unatakiwa uelewe kwamba sheria ni makubaliano tu ya kundi la watu ili waweze kuishi pamoja kwa amani.

Ni karatasi zenye makubaliano. Ungekuwa kwenye nafasi ya kuhakikisha kuwa sheria zinafuatwa na ni mambo gani yakifanyika na kwa wakati gani yakifanyika yanaweza yakasababisha sheria isiwe na maana tena ungeelewa ni kwann huwezi ifuta chadema kipindi hichi cha kampeni.
Nguvu ya sheria yoyote ni sanctions for not complying and not your freewill to comply.

Nonetheless I can see the merit to your points of concern.

Lakini si kwamba uwezi toa hiyo adhabu kabisa, labda tatizo should CDM choose to respond; man power itakayohitajika, watu watakao umizwa in the process na sura ya taifa duniani; makes not worth it kipindi hiki. But it can be done.

Tatizo lingine on the perspective of justice it imbalances the offence and punishment given. The latter being too severe and unfair to other candidates.

Lakini inabidi kwa namna moja au nyingine CDM have to bear ‘vicarious liability’ kwa matendo ya Lissu he is just becoming too arrogant na kudhani anaweza kutuweka watanzania wote ransom (msiponiacha nifanye hivi mwanasheria wangu atawashitaki ICC, sijui mtanyimwa misaada etc na upuuzi uliojaa kichwani kwake) yaani kwa vigezo ivyo aogopwe; that has to stop.
 
Sema vizuri mitaa ulipo wewe ni Lumumba, hamna amani ni wasiwasi mtupu, policcm wanashindwa, media coverage haina impact, tumeccm inaelekea kushindwa, wizi wa kura mazingira magumu. Poleni
Duh ndoto yako unaota muda mrefu Sana...hallucinations ..pole..
 
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.

Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.

Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.

Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.

Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.

Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Wewe ni punguani . Unataka fujo ili ukaibe mali za watu. Pumbafu kabisa.
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Mbowe amejitenga kivipi?
Hujui kwamba mbowe Ni mgombea ubunge inabidi awe Hai
 
Naunga mkono hoja! Hili watu wengi hawalioni. Huwezi kupumzika kumpiga adui. Apumzike kwa lipi?
Msimamo ni haki lazima itendeke. Ubaki msimamo huo huo. Wenye unyonge wabaki na dhana zao za uoga na unyonge. Akifanya kutii hiyo amri ameshakwisha! Ccm wanapima upepo kuona reaction itakuwaje.
Nyie taarifa nusunusu huwa mnazitoa wapi? Alishasema ataendelea kuwanadi wabunge majimboni
 
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.

Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.

Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.

Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.

Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.

Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Tuko tayari ispokua familia za viongozi wetu ziwe mstari wa mbele kukiwasha,sio porojo za nyuma ya keyboards,pathetic
 
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.

Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.

Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.

Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.

Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.

Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Wewe hatuna budi kutumia lugha Kali ya pumbavvuuu..nakushauri jitokeze hadharani then uende kuongoza maneno yako..watu wakufuate nyuma...uone jinsi watanzania walivyo. S..tup..iddd..unadhan watanzania ni wajinga..usinong'onezee mitandaoni
 
Hii inaonesha chama kipo kipo tu,hakieleweki.

Ndio maana kila atakae kusimama chadema aweza.

Mnamkumbuka mh.Lowassa.
Nimekuuliza hivi kuonyesha upumbavu wako, na kwa jinsi ulivyo mpumbavu umeingia vile vile.

Mwanaume unaongea kama Hadija Kopa wa TOT? Mipasho!

Lissu akiongea Magufuli anajibu
Samia Suluhu anajibu
Majaliwa anajibu
Polepole anajibu
Yusuph Makamba anajibu
NEC wanajibu
Polisi wanajibu
Mapoyoyo kama wewe mnajibu

Halafu unasema tumekosea kumsimamisha Lissu.

Kapime afya ya akili yako
 
Mlidai chadema ingekufa by 2020 sasa itakufa oct 2020 baadae mtasema haitakufa milele, ni spana mpaka mshike adabu
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Mengine haha yaache,kaandae tamko,Kama msemaji was mbeleko za mgombea wenu litakalo endelea kumbeba kwani ushindani kwake sumu.
 
mbowe na kamati nzima ya chadema wanajua namna bora ya kudeal na hili swala.

hata IGP alisema namuagiza mwenyekiti wake akae na kuongea vyema na lissu,siasa ni busara bana sio kuongea linalokujia tu kichwani.

isijekuwa tunanung'unika meko ni mwezi mchanga,kumbe tunayedhani ni bora ndiye chizi kabisaa.
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Bia yetu karibu tena jamvini. Tusamehe Mkuu, hatukujua kuwa hata pumba huwa 'zinamisiwa'😀
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Baada ya uchaguzi, hata hiyo nafasi ya umakamu mwenyekiti watampora. Iwapo kama kwenye kampeni hawapo naye bega kwa bega jua wameshaona hana faida yeyote kwenye chama siyo mtaji wa chama (is no longer liability or asset-yupo yupo tu0, maana wabunge na madiwani watakuwa wa kutafutwa kwa tochi bungeni na kwenye halmashauri
 
Naskia zamani ulikua mchepuko wa lissu
 
Baada ya uchaguzi, hata hiyo nafasi ya umakamu mwenyekiti watampora. Iwapo kama kwenye kampeni hawapo naye bega kwa bega jua wameshaona hana faida yeyote kwenye chama siyo mtaji wa chama (is no longer liability or asset-yupo yupo tu0, maana wabunge na madiwani watakuwa wa kutafutwa kwa tochi bungeni na kwenye halmashauri
Mmeshindwa kumpora m.kiti wenu mnahangaika na ya jirani.
 
Back
Top Bottom