NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
Duuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu ya sheria yoyote ni sanctions for not complying and not your freewill to comply.Unatakiwa uelewe kwamba sheria ni makubaliano tu ya kundi la watu ili waweze kuishi pamoja kwa amani.
Ni karatasi zenye makubaliano. Ungekuwa kwenye nafasi ya kuhakikisha kuwa sheria zinafuatwa na ni mambo gani yakifanyika na kwa wakati gani yakifanyika yanaweza yakasababisha sheria isiwe na maana tena ungeelewa ni kwann huwezi ifuta chadema kipindi hichi cha kampeni.
HaujielewiCHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Duh ndoto yako unaota muda mrefu Sana...hallucinations ..pole..Sema vizuri mitaa ulipo wewe ni Lumumba, hamna amani ni wasiwasi mtupu, policcm wanashindwa, media coverage haina impact, tumeccm inaelekea kushindwa, wizi wa kura mazingira magumu. Poleni
Hii inaonesha chama kipo kipo tu,hakieleweki.Ulitaka tumsimamishe nani, Kinana?
Wewe ni punguani . Unataka fujo ili ukaibe mali za watu. Pumbafu kabisa.Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Mbowe amejitenga kivipi?CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Nyie taarifa nusunusu huwa mnazitoa wapi? Alishasema ataendelea kuwanadi wabunge majimboniNaunga mkono hoja! Hili watu wengi hawalioni. Huwezi kupumzika kumpiga adui. Apumzike kwa lipi?
Msimamo ni haki lazima itendeke. Ubaki msimamo huo huo. Wenye unyonge wabaki na dhana zao za uoga na unyonge. Akifanya kutii hiyo amri ameshakwisha! Ccm wanapima upepo kuona reaction itakuwaje.
Tuko tayari ispokua familia za viongozi wetu ziwe mstari wa mbele kukiwasha,sio porojo za nyuma ya keyboards,patheticKumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Wewe hatuna budi kutumia lugha Kali ya pumbavvuuu..nakushauri jitokeze hadharani then uende kuongoza maneno yako..watu wakufuate nyuma...uone jinsi watanzania walivyo. S..tup..iddd..unadhan watanzania ni wajinga..usinong'onezee mitandaoniKumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Nimekuuliza hivi kuonyesha upumbavu wako, na kwa jinsi ulivyo mpumbavu umeingia vile vile.Hii inaonesha chama kipo kipo tu,hakieleweki.
Ndio maana kila atakae kusimama chadema aweza.
Mnamkumbuka mh.Lowassa.
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Afadhali ya mjinga najitatambua mjinga nitaufuta. Wewe mpumbavu kwa kuwa u mjinga lakini unajiona mjanja maana umepumbaaWewe ni mjinga,
2015 CUF walisusia uchaguzi Zanzibar, na uchaguzi uliendelea kama kawaida. Hakuna wa kusimamisha uchaguzi eti kisa Lissu kaenguliwa.
Mengine haha yaache,kaandae tamko,Kama msemaji was mbeleko za mgombea wenu litakalo endelea kumbeba kwani ushindani kwake sumu.CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Baada ya uchaguzi, hata hiyo nafasi ya umakamu mwenyekiti watampora. Iwapo kama kwenye kampeni hawapo naye bega kwa bega jua wameshaona hana faida yeyote kwenye chama siyo mtaji wa chama (is no longer liability or asset-yupo yupo tu0, maana wabunge na madiwani watakuwa wa kutafutwa kwa tochi bungeni na kwenye halmashauriCHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Naskia zamani ulikua mchepuko wa lissuCHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Mmeshindwa kumpora m.kiti wenu mnahangaika na ya jirani.Baada ya uchaguzi, hata hiyo nafasi ya umakamu mwenyekiti watampora. Iwapo kama kwenye kampeni hawapo naye bega kwa bega jua wameshaona hana faida yeyote kwenye chama siyo mtaji wa chama (is no longer liability or asset-yupo yupo tu0, maana wabunge na madiwani watakuwa wa kutafutwa kwa tochi bungeni na kwenye halmashauri