acha upoyoyo, mtoto anaandaliwa kijana, usifikiri wanaowapeleka watoto wao shule za mamillion ni wajinga - sisi tuliochomoka toka familia maskini tumehangaika sana kufika hapa tulipo na ndiyo maana hatutaki watoto wetu wapitie njia hiyo.Acha "uhobobo" na mental slavery...
Kuwa na "future" na taifa ni kuwa KIONGOZI ,MTAWALA,MWANASIASA PEKEE?!!!
Kwa hiyo watoto wa wakulima HAWALIMI wakawalisha hao unaowaona bora....
Kwa hiyo watoto wa wakulima hawako katika sekta ya utumishi na biashara kuwahudumia watanzania?!!!![emoji849][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna mwanadamu asiyemuandaa mwanaye?!!!acha upoyoyo, mtoto anaandaliwa kijana, usifikiri wanaowapeleka watoto wao shule za mamillion ni wajinga - sisi tuliochomoka toka familia maskini tumehangaika sana kufika hapa tulipo na ndiyo maana hatutaki watoto wetu wapitie njia hiyo.
Tuanze na wewe, watoto wako unasomesha KAYUMBA kama ni kweli mwaga data acha siasa za kilaghai. Siajabu umo hata kwenye report ya CAG - mnaiba hela za umaa at the background mnajifanya wazalendo wenye uchungu na Taifa hili.Kuna mwanadamu asiyemuandaa mwanaye?!!!
Unataka kulazimisha mfumo wa maandalizi ya mtoto uwe mmoja ?!!!
Mbona unalazimisha kuingiza kitanda ya futi 6 katika kachumba kwa mbwa?!!!
Hakuna mzazi mtimilifu asiyejua kuwa ELIMU ndio msingi wa maisha....kwani hakuna wanaomaliza vyuo vikuu waliosomea Kayumba ?!!!
Kwa kipato gani cha mtanzania wa kawaida/mtumishi wa umma akaweza kumsomesha mwanaye FEZA/IST na kumpa scholarship ya HARVARD?!!!
Mbona unaongelea kakikundi kadogo kawatu tu ?!!!
N.B Wako wafanyabiashara wa Kati ambao hawana elimu ya sekondari na wametokea familia dunia ambao pia wanasomesha watoto wao huko FEZA kwa kuwa tu "kimewachanganyia".....usitumie SITUATION moja kwa watu tofauti.....
BROADEN YOU MIND
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mungu anashuhudia....Tuanze na wewe, watoto wako unasomesha KAYUMBA kama ni kweli mwaga data acha siasa za kilaghai. Siajabu umo hata kwenye report ya CAG - mnaiba hela za umaa at the background mnajifanya wazalendo wenye uchungu na Taifa hili.
Marekani ikiwafanikishia kuchukua nchi, watawagawia Kila kitu wamarekani, wanaweza kuiuza Zanzibar, Kigamboni, George Bush wakampa mbuga yote ya Serengeti.Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.
Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
Mm sina nasaba yeyote na chadema wala sio mwanachama wa chama cha siasa ila sipendi siasa za uzushi na kuchafua watuWee Hakika chadema wamekuteka akili
Hata ofisi ya chadema imewashinda kujengaKwakuwa wanamahusiano makubwa na watu wa nje nina uhakika watatusaidia watakapopata dhamana katika hii nchi hawatakuwa na vichwa vyepesi vyenye kushindwa kupambanua mambo kama vya kizanzibar ambavyo kila kitu ni sawa tu[emoji29][emoji29][emoji29]et ushoga fanyeni nyinyi wakubwa sio watoto ndo nakumbuka yaleee ngurue si tatizo kuliwa na mkristu ila ni shida kwa muislam,uhalali wa ushoga kwa....... ni sawa lkn ........tatizo hatuko hvyo.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Acha kuwakataa nyumbu wenzio .Mm sina nasaba yeyote na chadema wala sio mwanachama wa chama cha siasa ila sipendi siasa za uzushi na kuchafua watu
Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.
Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
Ulitaka nijiite chadema wakati mm siyo chadema.? Sijaenda shule kufundishwa unafiki kama weweAcha kuwakataa nyumbu wenzio .
Nyumbu mnajulikana tu hata tembea yenu
Mpumbavu wewe unazungumzia ofisi au watoto kusoma nje? Pandisha na yale mashimo ya choo yanayofanana na ubongo wakoHata ofisi ya chadema imewashinda kujenga
Hao wenye ofisi zinatusaidia nn zaidi ya kuiba mali za umma ??????Lini wanajenga ofisi?
Erythrocyte asione hii 😂Ni nyumbu tu atakayewaamini hao viongozi vilaza
Hili nalo neno....Marekani ikiwafanikishia kuchukua nchi, watawagawia Kila kitu wamarekani, wanaweza kuiuza Zanzibar, Kigamboni, George Bush wakampa mbuga yote ya Serengeti.
Wote wamenunuliwa majumba na CIA huko Marekani na Dubai
Wao ni kiguu na njia tu kwa mabwana zao wa magharibi [emoji1787]Hata ofisi ya chadema imewashinda kujenga
Bado hajatoka WASAFI amemsindikiza Lema wa Canada kushoot kipindi [emoji1787]Erythrocyte asione hii [emoji23]