Kamati Kuu ya CHADEMA watoto wao ni raia wa nchi zingine

Lissu aliwahi kukuingilia kinyume na maumbile sio bure.
 
Huyu baba yake alikuwa mwanachama wa Chadema?
 
Attachments

  • Screenshot_20230425_102434_Chrome.jpg
    184.2 KB · Views: 4
Huyu baba yake alikuwa mwanachama wa Chadema?
Mtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?

Acheni propaganda.
 
Hali hiyo ya ofic hata kabla ya wao kukimbilia ughaibuni kwahiyo mleta mada acha ujinga.
 
Wewe ni mjinga kipimo cha poyoyo!
 
Mtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?

Acheni propaganda.
Tatizo umezaliwa kwenye familia maskini,kupata zero sio kufeli maisha
 
Ongea kwa kuweka akiba ya maneno. Je unajua viongozi wangapi wa chama tawala wana watoto walio na urai wa nje ya Tanzania?
 
Ongea kwa kutafakari zaidi. Je unajua viongozi wa ngapi wa chama tawala na serikali watoto wao wana urai wa nje? Tangu lini uliambiwa kuwa na uraia wa nchi nyingine ni kosa kisheria?
 
Sio suala la kukosa ofisi tu, ila sio chama kabisa cha kuipa hata jimbo. Hawanaga cha maana wanafanya. Ni wachumia tumbo tu kama mashetani wa ccm.
 
Sio suala la kukosa ofisi tu, ila sio chama kabisa cha kuipa hata jimbo. Hawanaga cha maana wanafanya. Ni wachumia tumbo tu kama mashetani wa ccm.
Ni washamba sana alafu
 
CCM NI VILAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…