Mkuu huyo ni maiti kiakili hataweza kukujibuMkuu naomba ufafanuzi kidogo mi mtu wa mkoani hasa hapo kwenye bold; hivi hua inakuaje hi "saccos" Mbowe anaitumia vizuri hivyo ili hali pesa za chama hua zinakua Audited!? How comes CAG aweze kuona upotevu wa 1.5 Tilioni za serikalini but za Chadema zimshinde!? Tena sio mwaka hu au mwaka jana, almost tokea Mbowe kaingia madarakani, hili halijawahi kuonekana!? Hebu nishawishi na mimi nilielewe mbinu za huyu jamaa ambazo zinamshinda profesa Asadi kuziona
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo mi mtu wa mkoani hasa hapo kwenye bold; hivi hua inakuaje hi "saccos" Mbowe anaitumia vizuri hivyo ili hali pesa za chama hua zinakua Audited!? How comes CAG aweze kuona upotevu wa 1.5 Tilioni za serikalini but za Chadema zimshinde!? Tena sio mwaka hu au mwaka jana, almost tokea Mbowe kaingia madarakani, hili halijawahi kuonekana!? Hebu nishawishi na mimi nilielewe mbinu za huyu jamaa ambazo zinamshinda profesa Asadi kuziona
Kwahiyo wewe ndio yule.muongoza magari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unanikumbusha mwendawazimu mmoja niliewahi kumuona Bunda stendi ya zamani miaka mingi kidogo. Yule kichaa alikuwa 'muongoza' magari pale stendi. Liwe linatoka, kuingia, kurudi nyuma yote 'aliyaongoza' ingawa hakuna dereva alomtilia maanani, isipokuwa wale walomwona kichekesho. Amen.
Wenye ufahamu weshaelewa.Kwahiyo wewe ndio yule.muongoza magari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna mkubwa kuliko Kamati kuu .Yericko Nyerere anasemaje juu ya haya maamuzi?
Ulitaka wafukuzwe ili iweje.Kwa Makosa Yalifanywa Na Kubenea na Komu Kupewa Onyo tu Haitoshi Nimegundua CHADEMA kuna Shida Sehemu Nimewaza Hapa Wameogopa Kuonekana Kila Anaepingana na Mbowe Anafukuzwa Kwenye Chama
Kwani kwa sasa huwezi ongoza Magari ?Wenye ufahamu weshaelewa.
Mbona mbowe ni mkubwa kuliko chama.?Kamati kuu imetumia busara kinachotakiwa waombe radhi kwa maandishi waahidi kutorudia, ila watambue hakuna aliye mkubwa kuliko chama.
Mungu Amrehemu Yericko na michuki yake, Wallah.!"Kabla ya uamuzi wa Chama changu Chadema, ninaoamini ni asilimia 100% utakuwa wa heri kwa chama na tumaini jipya kwa umma, Ninachukua uamuzi binafsi kukipongeza chama changu Chadema kwa maamuzi haya magumu ya kitaasisi,
Hili liwe onyo kwa wengine wenye tabia ya usaliti tena usaliti wenye jinai... Ninashauri chama changu kiende mbele zaidi kwakuchukua hatua za kisheria kwakuwa usaliti wa Kubenea na Komu una jinai ndani yake" By Yeriko Nyerere...
Duh so sad
Inaonyesha uhuru wa kutoa maoni uliopo ndani ya Chadema.Na yale alokuwa amepanga Yericko unayachukuliaje?
Si kweli mkuu, soma yale makala yake, yalikuwa yana chuki binafsi kumchonganisha na wapiga kura wake.Inaonyesha uhuru wa kutoa maoni uliopo ndani ya Chadema.
Alivyo zezeta wa kisiasa atabadili tena habari...yani anakua kama sio yeyeMungu Amrehemu Yericko na michuki yake, Wallah.!