Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Yericko naona utakuwa na furaha sasa ni muda wako kuanza kunyemelea nafasi ya Kubenea huenda ikakufaa.
 
Yericko Nyerere ataiweka wapi sura yake,alikurupuka?
Ana uhuru wa kutoa maoni. Ila siyo kila maoni yanafaa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi. Mengine yanasikilizwa na kuchambuliwa na kupimwa kwanza kabla ya kuchukua uamuzi. Maoni yake kutofanyiwa kazi hakomi kuwa mwanachadema na wala hana sababu ya kuacha kuendelea kukipigania chama.
 
Hahahaha habari nzuri Sana hii kwetu Wana CCM ..Vita ya panzi =furaha ya kunguru
 
Ahsante mnyika na kamati kuu kwa ujumla kwa hatua kama hiyo itayoendelea kutunza heshima ya chama chetu.
 
Hawa wahuni sijui ni kwa nini wameachwa na kamati kuu waendelee kuwa kirusi lakini kubwa zaidi ikiwa walijituma hii si jinai na wamekiri? Iweje serikali ya ccm isiwachukulie hatua?
 
Ukiona sarakasi kama hizo zinatukia ujue uchaguzi ndani yacdm umewadia..... hususan ngazi ya mwenye kiti chake milele.
 
Wamepewa onyo kali baada ya kutaka bi kilembwe aachie madaraka chamani..
Maskini akina mtolewa hawajui kuwa chadema ni saccos ya wachaga..
Wasijaribu tena kumtaka bi kilembwe aachie ngazi yatawakuta ya zitto na chacha wangwe
 
Mkuu lazma waombe radhi kwani wao hawajui kuwa kile ni chama cha mbowe na baba yake Bob makani?
Wataanzaje kutaka mwenyekiti abadilishwe kwenye chama cha watu?
 
Nilitaka chadema iwatimue wote hata wakicheza chikichichikichi emhh! fyekelea mbali.
 
Kwa hiyo na ninyi mnataka kulipiza kwa kumpa Mbowe aongoze miaka 25 kama Nyerere?
CCM imeanzishwa mwaka 5/02/ 1977 tukumbuke kwanza, kabla hapo hakukuwa na CCM. Ndiyo ipigwe hesabu ya kuongoza wenyeviti wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…