Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

MKUU KAMA UMELEWA KAPUMZIKE ACHA KUROPOKA BILA USHAHIDI WOWOTE.

WALE WALIOKUWA WANAAPA WALIKUWA MATEKA AU WATU HURU?

MAGUFULI NA NDUGAI WANAINGIA JE TENA
 
Kwahiyo kuleta mabadiriko kwenye nchi mpaka CCM itoke madarakani?

Kama unakubali la CCM kwanini ukubali Chadema kuwa na Mwenyekiti mpya?
Unajenga hoja vizuri ila kiswahili hujui. Sijaona muunganiko wa hiyo hoja yako "Kama unakubali la CCM kwanini ukubali Chadema kuwa na Mwenyekiti mpya"?

Nadhani ulipaswa kuandika "hukubali" na si "ukubali". Na usijaribu kusema ni typing error, hicho kichaka mmejificha sana tunakijua. Sana sana ishia kimya kimya, shule za kata tunazijua zilichofanya.
 
Mtandao unasumbua ntaanza kuweka updates muda huu
 
"Mimi ni kama binadamu Kama wengine nahitaji Konyagi ili ni survive,sasa nyie mnataka tuwafukuze wao watakula wapi? kama mlishindwa kuwatetea walipo fungwa mtawasaidia kwenye nini? na nimegundua wa Tanzania wengi wanajificha nyuma ya keyboard, sasa kama mpo hivyo nendeni kwa Rais wenu Rais wa jamhuri ya twira Kigogo. i(n mbowe voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…