Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hajanywa konyagi kweli huyu🤔?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliyoyaongea huyajatokea?hivi kwa nini watu wakitokaga chadema huwa wana hasira nacho sana?huyu jamaa mda sana alishaaminishaga watu cdm haifai imekufa kaongea kanyamaza karudi tena ,wapeni vyeo jamani duh
MKUU KAMA UMELEWA KAPUMZIKE ACHA KUROPOKA BILA USHAHIDI WOWOTE.Hii ni mipango OVU ya Jiwe na wahuni wenzake ya kuua Demokrasia na Upinzani Tanzania!!
Huu ushenx wa Wabunge viti umesukwa na MAGUFULI, NDUGAI NA EILSON MAHERA WA NEC!
Kinachotakiwa hapa ni CHADEMA kukaza buti mpaka ijulikane waliofanya uhuni huu watajwe hadharani na dunia ijue JINSI CCM INAVO JITAHIDI KUVURUGA UPINZANI NA DEMOKRASIA NA AMANI TANZANIA!
NI MAMBO YA KIPUUZI SANA HAYA. KURA WAMEIBA NA MAJIMBO YOTE WANECHUKUA CCM HALAFU BADO WANATAKA NA VITI MAALUMU TOKA UPINZANI WATEUE WAO CCM. Huu ni ujinga kiwango cha matope!!!
[emoji1787]Baada kutoa tamko naomba ajiuzulu waanze upya kujenga chama.
Hata za kuvukia barabara hazikutoshi.List ya Mbowe ina barua yenye Muhuri halali ya Mdee ina dhamana ya wanawake. Haya tusikilize porojo za Mbowe
Unajenga hoja vizuri ila kiswahili hujui. Sijaona muunganiko wa hiyo hoja yako "Kama unakubali la CCM kwanini ukubali Chadema kuwa na Mwenyekiti mpya"?Kwahiyo kuleta mabadiriko kwenye nchi mpaka CCM itoke madarakani?
Kama unakubali la CCM kwanini ukubali Chadema kuwa na Mwenyekiti mpya?
Wacha tuoneMnyika yupo kwenye wakati mgumu kwa kujaribu kupingana na mwenye kigoda ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndan ya chama. Maamuzi yake yawe ya faida au hasara, hakuna anaeruhusiwa kumpinga wazi wazi wala mafichoni
Tanzania inapakwa matope maskini...aibu hii ni kubwa saana. CCM mnalinajisi taifa letu kwa uroho wa madarakaNEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
Aibu kubwa..deal za kitoto sana hizi.Kumekucha Sasa Hivi
NEC
Bunge
DPP
POLICE
PCCB
Washapigwa chini uanachama na mashtaka ya kughushi yanaandaliwa labda wakingiwe kifua na DPP.Press conference imeanza
Hapa mroho na lofa ni yupi sasa? Aliyehonga au aliyehongwa na akakubali?...aibu hii ni kubwa saana. CCM mnalinajisi taifa letu kwa uroho wa madaraka