Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Ficha ujinga wako.

Nyau wewee

waulize cuf na nccr wakupe majibu, ni sekunde chache tu ccm wakiamua kukiangamiza chadema katika vipande vipande! na hakuna namna mnaweza ishinda ccm hata muungane vyama vyote tanzania nzima
 
Asante1 Inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani,upeo duni na mpumbavu kupindukia. Unafikiri mtu kuwa rais ndo ana akili kuliko wooote au? Na je,kabla hajawa rais ulikuwa unamchukulia kama mpumbavu mwenzio au?

so wewe una akili kushinda raisi
 
Wanandungai covid 19 wataenda kuwa wabunge wa mahakamaccm ili kuinusuru chadema isifariki kama chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba

mwaka huu ndo mwisho wa cdm unasubiria nn tena apo ufipa
 
waulize cuf na nccr wakupe majibu, ni sekunde chache tu ccm wakiamua kukiangamiza chadema katika vipande vipande! na hakuna namna mnaweza ishinda ccm hata muungane vyama vyote tanzania nzima
Hide your stupidity

Nyau youu
 
CHADEMA kwa mara ya kwanza toka dunia iumbwe wamefanya uamuzi wa kiume
 
Waliofukuzwa chadema plus waliounga juhudi wakakosa ubunge waungane waunde chama chao itapendeza.
.
.Covid 19
. Lijuakali
.Nassari
.Kalanga
.Kubenea
.Komu
. Selasini
Nk
Column inatimia
.
 
Kumbe Tanzania bado inao wazalendo...well done Chadema!
Mmeonesha ukomavu mkubwa...and you have regained my support!
Haya kweli ni maamuzi ya kishujaa...and truly you have shown the way!
Hongereni sana kwa kumkoma nyani geledi bila kumtazama uso...big up!

When the going gets tough, only the tough will continue to plow on.
 
Viongozi wao wanasoma sana mitandao badala ya kufanyia SWOT analysis maamuzi yao.

Tatizo la CDM kwa sasa ni Lissu
Yours is the most stupid comment this far. Wangekuwa wanasoma mitandao tu wasingekuwa na ujasiri wa kuwatimua hao wasaliti kwani mada nyingi zilizoanzishwa na watu kama ninyi zilikuwa zikiwataka wasichukue hatua walizochukua. Sorry to disappoint you mboga mboga.
 
Kama kitendo kimewaudhi mbona hawawavui uanachama? Siasa ni uongo wa hali ya juu. Jicho liko kwenye ruzukub njaa hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…