Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Ccm watakapanga sikuvp na aidan mnamjadili lini?
Buhahaha hahahaa hahaahaaSio Muda mrefu Mbowe atapotea kabisa kwenye Ramani ya siasa.
Chadema hakina sifa tena ya kuwa Chama cha siasa.
Siasa za Mbowe ni siasa za Chuki na visasi binafsi.
Tunamuomba Msajili wa vyama vya siasa akiondoe kwenye orodha ya vyama vya siasa kwani hakina tija kwa Nchi yetu kisiasa ,kiuchumi na kijamii pia!
Ni chama kinachofurahiya matatizo ya watanzania kwa sababu tu ya kupingana na kile wanachokiamini wao.
Siasa haifai kuwa kama formula ya hesabu isiyobadilika. Siasa inapaswa iende na wakati na mazingira ya watu.
Kuwavua uanachama akina Halima mdee kwa sababu ya shinikizo la waliokosa ni mwendelezo wa hulka ya roho mbaya ya wanasiasa wa kiafrika.
Bora kuwa na Chama kibovu cha Kijamaa kuliko kuwa na Chama kibovu cha Kiriberali.
Kumbe Chadema kingeingia madarakani tungeshuhudia ukiukwaji mkubwa sana wa haki za Binadamu kuliko ule wa Bokasa na Iddi Amini!!
Mbowe ni Dikteta Mbaya kuliko shetani.
Hebu fikiri Ushenzi na ubabe alio nao Mlevi,Mzinzi,Mhuni, Gaidi na Muuaji na Mwongo Mbowe angekua ndio mwenyekiti wa Chama kilichoshika Dola wasaliti wangefanywaje kama sio kunyongwa hadharani??
Kumbe tuna chama cha kiriberali na kidemokrasia chanye itikadi kali kuliko ya makundi ya kigaidi??
Kumbe ile misimamo yao ya kuiga China kuwanyonga wenye kukiuka maadili bado wanayo halafu wanasema kuwa wao ni Chama mbadala kwa CCM ??
Demokrasia ipi wanaihubiri isiyofuata misingi ya haki za watu na kuwasikiliza?
Hivi walishindwa nini kusikiliza ombi la kina Mdee la kupewa siku tano zaidi ili wajiandae ,hata kama wangeenda mahakamani ?
Huo ungekua ni mfano mzuri wa kuuonyesha ulimwengu kuwa Chadema ni chama kinachojali Haki ,uhuru na Demokrasia kwa vitendo . Chama kinachowafanyia unyama watu waliokipigania kwa Jasho na Damu kitakuwaje kwa wanachi wengine ambao sio wanachama wao na wanawapinga wazi wazi?
Kumbe Chadema kingeingia kadarakani kingeweza kuwafunga na hata kuwanyonga Wapinzania wao wote bila hata kuwasikiliza?
Hivi Chadema hawakujifunza tu kosa walilofanya wakati wa Korona walivyokuwa wanafurahiya na kusubiri vifo vya halaiki kwa sababu tu JPM alikataa kushinikizwa kufanya Lockdown??
Mchezo wa kukifanya NCCR kuwa Chama kikubwa utatimia kabla ya mwaka 2025 !
Kufurahia nchi kuwekewa vikwazo ili tu waichague Chadema ni ujinga mkubwa sana. Watu wateseke kwa maslahi ya Mjinga na Dikteta mmoja Mbowe na Genge lake hapana.
Msajili akifute hiki Chama haraka.
Tena yule Mbunge wa Nkasi ajivue uanachama wa Chadema kiwaunga mkono wanawake Wenzake waliodhalilishwa ,kisha ajiunge na CCM na atarudi tena Bungeni !!
Huo utakua ndio mwisho wa Chadema na Mbowe atabaki hewani bila Chama mana Msajili atakua hana sababu ya kukiacha hicho Chama kwenye orodha ya vyama vya siasa.
Mbowe na Genge lake abaki kama Mwanaharakati na sio mwanasiasa!!
Kuna sehemu ya Risala yako ndefu umenikumbusha Rugemalira na Seth, if you no war aimiin.Sio Muda mrefu Mbowe atapotea kabisa kwenye Ramani ya siasa.

Umebwabwaja weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, umetosheka!Sio Muda mrefu Mbowe atapotea kabisa kwenye Ramani ya siasa.

kiingereza bado sanaLike I told you are just a bitter old reprobate who ran away from your country for major offences during Nyerere and your quarrel with CCM is based on your crimes.
Poor you a man who is bound to be buried in a foreign land, thats your fate accept it and live with it.
I know it’s sad
mwisho wako wewe ambaye hujaolewaMwisho wa chadema
Ana PhD ile, ni wa CCM!Hii inaonyesha level ya education yako!
Hapa CDM imebaki salama ingawa kusema kweli wale akina dada wameniumiza roho kutoka CDMChadema sio danguro kama CCM ilivyo , Chadema ni taasisi
Ni MwakyembeAna PhD ile, ni wa CCM!
bado, sanaWhere I live that’s my everyday language mate don’t be fooled and I am one of the eloquent from the banch. That’s to say the issue is in your limitations of English language.
It usually ends with a ban, when I get into this, trust me.
Hao watabaki kuwa wabunge wa Ndugai na CCM
Nachukua nafasi hii kuutangazia umma kwamba nimechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa bawacha, nawashukuru sana wajumbe na watanzania , na Nina waahidi nitashiriki na kuanzisha mchakato wa kupeleka majina kamati kuu ya wabunge halali wa viti maalum,huku Jina la kwanza likiwa la kwangu Mh. Mwenyekiti mteule
Njoo tuongee,nafasi bado hazijayimia 19🤣 🤣 🤣 🤣
sijasema mimi ni mahiri wa kiingereza, nasema wewe bado!Jibu kwa kizungu ili tuwe sawa unapokosoa kuonyesha grammar issues, unstructured sentences tuone huo umahiri wako wa lugha.
PS Mag3 I know wewe ni mtu mzima ntafuta post zangu kwa sababu ya kuheshimu umri wako ndio nilichokifanya kabla ujarudi kuni quote.
Personal I don’t feel comfortable kukejeli watu wazima. Ila jiheshimu tafadhali sio watu wote tumelelewa kutukana wakubwa zetu anaenitangulia kwenye familia kanizidi miaka mitatu sina ujeuri ya kumjibu na ni mtu wa saba kwetu kuzaliwa hao wajuu zaidi ndio kabisa siwezi.
Follow the JF Motto chunga heshima yako, nikwambie ukweli najua wewe ni mtu mzima, binafsi sioni ufahari kukuvunjia heshima.