Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Haituhusu,mpaka tupate ukombozi wa pili.nyerere alikaa 28yrs ccm


Akiwa chini ya chama kimoja!
Wakati huhuo alitaka kupinduliwa zaidi ya mara nne.
Usifurahiye chama au nchi kuongozwa na waroho wa madaraka.
CCM kitatawala miaka mingi sana mana kina muda maalumu wa uogozi na kinajibadilisha chenyewe na kuja na sura na itikadi tofauti na iliyopita . Huku waijali suala la dini ,ukanda na hata jinsia.

Mbowe mwisho wake upo karibu kiuongozi mana Chama kinafutwa na hakina sifa tena ya kuwa chama cha siasa kwa usalama wa nchi yetu.

Tutawekewa vikwazo lakini akiwa nje ya siasa za vyama labda aunde kikundi cha harakati ambacho pia hakitasajiliwa.
 
Tatizo waliopo madarakani hawapo tayari kuachia madaraka.Nadhani wana hofu sana.

Ni psychology ya kawaida sana hata wewe ungekuwa in position of power usingekubali kuachia ki urahisi.
Power/Energy is meant to be transformed na sio otherwise sasa kama CDM hawana uwezo wa kubeba au transform CCM power hawawezi kuipata.
 
Chadema nitakupenda daima
 
Brother, should you consider usage of your primary language? Maana kiingereza chako bado mkuu!
 
Ni psychology ya kawaida sana hata wewe ungekuwa in position of power usingekubali kuachia ki urahisi.
Power/Energy is meant to be transformed na sio otherwise sasa kama CDM hawana uwezo wa kubeba au transform CCM power hawawezi kuipata.
Ngoja tusubiri tuone aliyepanda ndege akisindikizwa na mabalozi watatu atapambanaje huko kwenye uwanja mpya wa mapambano.
 
Pumbavu mkubwa, rais unamlinganisha na wapuuzi kama Mbowe
Upuuzi unao wewe kwani Rais mbona huwaonea wapinzani kwa kuagiza wabambikiwe kesi Ndungai awanunue covid 19 kuleta vurugu chadema ili wapate kuidhoofisha vizuri na kurejesha mfumo wa chama kimoja
 
Watu mmebobea kwenye kupiga ramli.
Mlisema hawafukuzwi.
Now mnasema watasamehewa.
Mkiitwa vilaza na misukule mnasema mnatukanwa.
 
Mbowe msanii sana

Kawavua Nyadhifa hajawavua Uanachama

Sasa Mtu kama Nusrat Hanje aaache Ubunge kwa ajili ya nafasi ya Ukatibu wa bavicha aliyokuwa nayo?
Yaani hata wewe Ustaadh hujaelewa!?
Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania la uelewa.
 
Hii vita inahamia mahakamani,na wao walilijua hilo kwa hiyo wamejipanga.
Uko mhimili 'uliojichimbia'chini kuliko mingine Kwasababu Ndio ulio suka mpango wote hiyo kesi itakuwa kama Hadithi za alfu Lela ulela
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…