mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Mbona Kama UNALIA. AU FUKUTO LIMEKUKABA ?Wanasema walipata vitisho vya kushambuliwa .
Wakaomba wapewe muda!!....
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Kama UNALIA. AU FUKUTO LIMEKUKABA ?Wanasema walipata vitisho vya kushambuliwa .
Wakaomba wapewe muda!!....
Eti uchaguzi ukiisha unaacha makovu! Uchaguzi au uchafuzi! Ushauri wako ni mzuri ukiupeleka Lumumba waanze wao kujitathimini kama wako kwenye raiti traka!!! Ila Mungu ni mkali wameanza wenyewe kuparurana uchaguzi wa meya Arusha ni balaa tupu!Wanasema walipata vitisho vya kushambuliwa .
Wakaomba wapewe muda!!
Hivi ni akina mama gani watakiamini tena Chama kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale akina mama?....
Shingo imeungana na kidevu 😝😝Sura utafikiria kapatwa na tatizo la kupumua,huyu elimu yke haina tofauti na DK manyaunyauView attachment 1636348
Nawasalimu wanajukwaa,
Kwanza nianze kwa kuwapongeza Chadema kwa kutumia strategy kali ili " kuwazuga" mashabiki wenu wa mitandaoni ambao wao kazi yao ni kuwapa moyo na siku ya kupiga kura hawaendi kuwapigieni kura...
Kigogo anajiridhisha yeye hakuna wa kumridhisha shemasi wetu.Kabisa wamemridhisha kigogo na maria sarungi!
Na wenyewe wanakenua tuu, Chairman ni Businessman anaachaje pesaaa.[emoji28][emoji28][emoji28]Kabisa wamemridhisha kigogo na maria sarungi!
Tumia akili wanawazuga tuu hao ukweli ni kwamba waliwaruhusu, Chairman ni Businessman anaachaje pesaaa.[emoji28][emoji28][emoji28]Hongereni CDM kwa kuwa na msimamo hata kama unaumiza vipi, hakuna mtu alie juu ya chama.
Hii ilikuwa ni karata muhimu sana kwenu, mmeicheza vema.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Bila hayo Bashir wa Sudan angeondoka?Sasa na wao viongozi si wawe wanaandamana peke yao kutuwakilisha kama wanavyotuwakilisha bungeni ?
Au kwenye shida tuwe nao ila kwenye raha na kula viyoyozi bungeni wale peke yao.
Aisee maandamano na migomo ni njia za walio kosa mbinu za ukombozi na kukata tamaa.
Angeondoka.Bila hayo Bashir wa Sudan angeondoka?
Na wenyewe wanakenua tuu, Chairman ni Businessman anaachaje pesaaa.[emoji28][emoji28][emoji28]
Hawamjui game changer disco joker!
Hivi nyie Mnawasikiliza akina Mbowe mnafikiri wana nia njema na nchi hii?Mbona umepaniki hivyo,au mpango wenu umebuma hivyo inawauma??? Mtavuna mlichopanda!
Alitangaza mpango wa kuondoka kabla ya maandamano?Angeondoka.
Unateseka mwenyewe nakuonaHamna kitu apo
Ziko njia nyingi sana za kuondoka, ndiyo maana njia zenu za migomo na maandamo hazina tija.Alitangaza mpango wa kuondoka kabla ya maandamano?