Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 726
Yamkini ni kweli lakini hiyo 40% yatosha sana.
Inatosha kama chama kikibadili mfumo na kuwa chama mbadala au chama kinachosubiri kuingia madarakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamkini ni kweli lakini hiyo 40% yatosha sana.
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
Haituhusu,mpaka tupate ukombozi wa pili.nyerere alikaa 28yrs ccm
Unaaibisha hilo jina kilaza wewe.Source gani unayofuatilia wewe??
Tatizo waliopo madarakani hawapo tayari kuachia madaraka.Nadhani wana hofu sana.Inatosha kama chama kikibadili mfumo na kuwa chama mbadala au chama kinachosubiri kuingia madarakani
Tatizo waliopo madarakani hawapo tayari kuachia madaraka.Nadhani wana hofu sana.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates
======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari.
22:08
Bado Viongozi wa Chadema hawajafika ukumbini
Mkutano huo utakuwa live kupitia
Tayari Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ameshafika ukumbini
Tunawashukuru Watanzania wengi ambao wanafuatilia kikao maalum cha ajenda moja ya kujadili, kushauriana na kutafakari juu ya wanachama wetu 19 waliokwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum- Freeman Mbowe
"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe
“Chama chetu hakijateuwa Wabunge wa Viti Maalum lakini tunaona wapo Bungeni wanaapishwa”Mbowe
Tangu nchi hii ipate uhuru hatujawai kuona Mbunge/Wabunge wakiapishwa garage, mambo ya kihuni kabisa haya..." Mbowe
“Hiki chama kinaongozwa na principles bila kujali maumivu makubwa tuliyopitia chama chetu kitafuata utaratibu siku zote, kwahiyo kamati kuu imewavua nafasi zao za uongozi viongozi wote waliokua na nafasi katika mabaraza ya chama.”
@freemanmbowetz
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -MBOWE
"Ili kanuni ambayo Spika ametumia iweze kufanya kazi kuapisha wabunge wetu. Kwanza wangestahili kubadilisha Katiba iruhusu wabunge kuapishwa nje ya utaratibu ambao ni ndani ya Bunge" -
Nusrate Hanje Katibu wa Bavicha amefungwa jela siku 133 kwa makosa yenye dhamana, hawa Watesi wetu wanakwenda kumtoa saa moja usiku akaape.”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaaapishwa”-
"Sisi kama chama cha siasa, hii 'process' yote hatuijui, tunaona tu wabunge wetu wanaapishwa. Chama chetu hakijateua wabunge wa viti maalum" -
"Wabunge hawa 19, mama zangu na dada zangu wameapishwa kiapo batili kwani Katiba inasema waapishwe mbele ya Bunge. Sasa kanuni zimebadilishwa ili kumruhusu Spika kumwapisha popote hata eneo la gereji-
“Tangu Nchi yetu imeanza hatujawahi kuona Wabunge wanaapishwa Gereji, lakini Dada zetu na Mama zetu hawa wameapishwa nje ya Bunge, wakati Katiba inataka waapishwe ndani ya Bunge, kwahiyo wamekula kiapo batili”
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaapishwa”
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka”
"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA 2020 WALIOVULIWA UWANACHAMA NI:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed
Brother, should you consider usage of your primary language? Maana kiingereza chako bado mkuu!I am a learn about Tanzanian culture but seriously speaking for some of us considering most of my friends and my family whom English is their first language. I find it somewhat bizzare to think some people think this language is so important to them.
Believe me on my mother’s side of the family 80% English is their first language the remaining 20% we speak swanglish. Its weird how you people think this language is so special; where’s to me and my friends speaking English is the norm.
You have one named Freeman....No One is bigger than the party
Ngoja tusubiri tuone aliyepanda ndege akisindikizwa na mabalozi watatu atapambanaje huko kwenye uwanja mpya wa mapambano.Ni psychology ya kawaida sana hata wewe ungekuwa in position of power usingekubali kuachia ki urahisi.
Power/Energy is meant to be transformed na sio otherwise sasa kama CDM hawana uwezo wa kubeba au transform CCM power hawawezi kuipata.
Upuuzi unao wewe kwani Rais mbona huwaonea wapinzani kwa kuagiza wabambikiwe kesi Ndungai awanunue covid 19 kuleta vurugu chadema ili wapate kuidhoofisha vizuri na kurejesha mfumo wa chama kimojaPumbavu mkubwa, rais unamlinganisha na wapuuzi kama Mbowe
Watu mmebobea kwenye kupiga ramli.Chadema kumbe mtu akisaliti bado kuna option ya kuomba msamaha ?? Msaliti ni mtu hatari kabisa tena hawa ni wajumbe wa kamati kuu Mbowe anacheza na akili za wanachadema anajua pressure ni kubwa nje , ametoboa kitundu kidogo upepo utoke then kukipoa mtaani atakuja na kusema wameandika barua tumewasamehe ...wanaendelea kuwa wanachama automatically ubunge utaendelea na ruzuku ataendelea kupokea huwezi kusema utambui uongozi kazini lakini mshahara unachukua
Option peekee kwa Chadema kama chama cha siasa kurun Ops zake na kulipa mishahara ni ruzuku kwani chadema hawana biashara wala miradi mingine ya kuingiza kipato . Mbowe anachofanya ni kubuy pass akili za wanachama wake wa mitandaoni ,beberu mweusi Lissu na Katibu wake na mtu atakae ishi maisha magumu ktk chama kwa sasa ni Mnyika soon atakuja geuka nyuma na kujikuta peke yake ktk uwanja wa vita .
Yaani hata wewe Ustaadh hujaelewa!?Mbowe msanii sana
Kawavua Nyadhifa hajawavua Uanachama
Sasa Mtu kama Nusrat Hanje aaache Ubunge kwa ajili ya nafasi ya Ukatibu wa bavicha aliyokuwa nayo?
Nani kakuambia rais ana akili kuliko wasio marais,kwa utafiti upi?so wewe una akili kushinda raisi
Nani kakuambia rais ana akili kuliko wasio marais,kwa utafiti upi?
Una umri gani!?Siwa n nan???
Go hang, imekwisha hiyo!You have one named Freeman.