Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Haya yanayotokea yanaidhalilisha nchi na hayajapata kutokea yangu tupate uhuru.
 
Nionavo mimi, hawa dada zetu hawajaenda hivi hiv

Nadhani mwenyekiti anajua jambo.

Sababu ni hiz.
1. Wakati wa speach hajawashambulia ...kwa wataalam wa human personality and psychology mtanielewa haraka sana

2.ilitegemewa wafukuzwe uanachama lakini wamevuliwa nyadhifa zao. Kanuni zipo wazi kwa wasaliti.

3. Inaonekana ilipangwa na wenye akili nyingi sana ndani ya C. Chadema ili kupata platform nzuri ya kuonyeaha Uharamia ndani na nje ya nchi uliofanywa na washindi

4. Imeratibiwa vizuri sana kuiua ACT - hence revival ya Chadema. Hatahivo hili litategemea Maamuzi ya ACT yanayosubiriwa.

Mwisho niseme tu ya moyoni. Katika hili Chadema wame wa outsmart sana Chama dola. Hongera sana kwa alie ratibu hii Game.

Natanguliza samahani kwa uandishi wangu kwani nafahamu ili uelewe ni lazima kwanza uwe unajua matukio mbali mbali ya siasa za nchi hii na pia uwe na reasonable IQ.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama...
Ngoja waisome namba, usaliti haujawahi kumwacha mtu salama
 
Hawajavuliwa uanachama bali Kamati kuu imewavua vyeo vyote na kuazimia kuwavua Uanachama

Sio Wewe tu hata Waandishi wengi wameshindwa kutofautisha kati ya kuwavua Uanachama na kuazimia kuwavua Uanachama


Yaani hata wewe Ustaadh hujaelewa!?
Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania la uelewa.
 
Acha ubinafsi ,kafungwe wewe unaeshabikia watu kughushi sahihi za wengine .CCM wamezoea wizi kwa hiyo hao wamama kughushinsahihi ya Katibu hawaoni shida.Mungu tusaidie hii dhambi wasiridhi wajukuu zetu ndio maana umakini imekuwa kama laana Tanzania.Tuna raslimali lakini kwa miaka 50 walioko madarakani wanaghushi tu
 
Wasichana wadogo wameharibiwa future yao kisiasa kwa mambo ya kipuuzi kabisa.
 
Eti NEC waghushi, wajumbe wa kamati kuu waarifiwe, waende Dodoma, wakubali kuapishwa kuwa wabunge! Inaingia akilini kabisaaa? Kweli nyumbu ni nyumbu tu!

Ikiwa wanaghusi kura fake washindwe barua ya chama? Nec ndio serikali mkuu
 
Wacha wavuliwe tamaa zao zimewaponza, hivi huo uanachama waliovuliwa bado wataendelea kukaa bungeni kama viti maalum au itakuwaje?
 
Komwnti hii ndiyo nimekuwa nikisubiri, na ndiyo kitu imetokea KABISA!

STRATEGY YOTE IMESUKWA JUST LIKE THAT --- hakuna ambacho viongozi wa CDM hawakukifahamu hapo. Hizi zingine ni namna ya kuwalipiza kisasi pamoja na kuwaweka sawa wanachama ambao hawakuonesha ushirikiano kwenye ballot box & maandamano.
 
Absolute truth!!! Kudos!
 
Ikiwa wanaghusi kura fake washindwe barua ya chama? Nec ndio serikali mkuu
Mi kinachonifurahisha ni kuwa, hao wanao ghushi wana uwezo mpaka wa kughushi wajumbe wa Kamati Kuu ya chama makini, chenye makamanda jembe, vichwa na wenye weledi kwenda kuapishwa lakini hawawawezi mashabiki maandazi wa mitandaoni. Hilo tu
 
Wasichana wadogo wameharibiwa future yao kisiasa kwa mambo ya kipuuzi kabisa.
Hiyo future ya kisiasa ingewasaidiaje kuvuka hapo waliokuwa?Maana kama ni ubunge wengine tayari wameuishi Sana,na tayari walikuwa wameukosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…