Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Huyu dada akijua kutafakari vizuri, ni bora arudi na kuomba samahani! Inauma sana amejenga jina sana lakini anakuja kupoteza jina na heshima yake kwa sababu ya vipande 30 vya fedha!!!! So sad
 
acha kumdanganya mtu mzima ndugu yangu. Hivi unaijua siasa wewe au unaisikia tu. Politics is a game. Mdee ni mtu msomi mwache afanye maamuzi yake. Binafsi Mimi simuungi mkono kuwa na watu wasio na maarifa wao kila kitu ni kupinga tu. Mwaache akatumie elimu yake kuitumikia serikali in positive way.
 
na wala haitakua ajabu kwani hata ccm walimfukuza Sofia simba mwenyekiti wa uwt lkn baadae akaomba msamaha akarudi. naunga mkono Ushauri huo
 
Kushauri siyo kosa mkuu
 
Wewe chama kimeshakufa atafute maisha mbele,,mfano mzuri ni Waitara
 
 


Hivi hili azimia lilifikiaga wapi???

Au ndio ule mchezo wa tega nikutege๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mkuu unataka CAG aweke mkeka wa ruzuku wanazopokea chadema kutokana na kuwepo hao wabunge waliofukuzwa chadema?
Wenzako akiwemo Ndugai walileta huo utopolo lakini walipoambiwa waweke ushahidi wakakimbia

Ruzuku ya chama cha siasa inawekwa kwenye akaunti ya chama iliyopelekwa kwa Msajili na Baraza la wadhamini , Chadema haikupeleka akaunti hiyo , wala haraza la wadhamini halikukaa kikao chochote
 
Hata andiko hili hapa JF uliloambanishiwa na video ya Mbowe nalo ni la siri ? labda utakuwa na matatizo ya akili

Nina akili timamu zilizotimilika ndio maana nasubiri maazimio ya kuwafukuza hao wanachama yafanyike

Mimi sisemi kitu nisichokijua sababu sijabarikiwa kuwa kiwanda cha uongo kama chadema
 
Nina akili timamu zilizotimilika ndio maana nasubiri maazimio ya kuwafukuza hao wanachama yafanyike

Mimi sisemi kitu nisichokijua sababu sijabarikiwa kuwa kiwanda cha uongo kama chadema
kama hutaki Kamati kuu iamue unataka aamue nani ?
 
Mna roho ngumu. Anyway, ni dunia ya wanawake. Akina Halima hivi sasa ndiyo wenye nguvu ndani ya chama chenu. Watatoa utaratibu wa matumizi ya ruzuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ