Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kwahiyo kuleta mabadiriko kwenye nchi mpaka CCM itoke madarakani?

Kama unakubali la CCM kwanini ukubali Chadema kuwa na Mwenyekiti mpya?
Tokea uhuru mpaka leo bado mna ahidi barabara tu, huoni kama mnahitaji kuachia ngazi.

Wewe kama Ccm, unamaslahi gani na Mbowe kutoka?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama

Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.

Stay Tuned for Updates

======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari
Mkutano huo utakuwa live kupitia
KIKAO KIMEAHIRISHWA?
 
Mpaka muda huu bado Viongozi Wakuu wa Chadema hawajifika ukumbini tumepewa taarifa ndo wanajiandaa kuingia
 
NEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi

Hii ni mipango OVU ya Jiwe na wahuni wenzake ya kuua Demokrasia na Upinzani Tanzania!!
Huu ushenx wa Wabunge viti maalumu umesukwa na MAGUFULI, NDUGAI NA WILSON MAHERA WA NEC!
Kinachotakiwa hapa ni CHADEMA kukaza buti mpaka ijulikane waliofanya uhuni huu watajwe hadharani na dunia ijue JINSI CCM INAVO JITAHIDI KUVURUGA UPINZANI NA DEMOKRASIA NA AMANI TANZANIA!

NI MAMBO YA KIPUUZI SANA HAYA. KURA WAMEIBA NA MAJIMBO YOTE WANECHUKUA CCM HALAFU BADO WANATAKA NA VITI MAALUMU TOKA UPINZANI WATEUE WAO CCM. Huu ni ujinga kiwango cha matope!!!
 
Tunamalizia kuweka mitambo sawa. Turuke hewani, Dunia nzima ikitutazama. Stay tuned. On your mark fellaz... mwamba yupo kwenye podium sasa...
FB_IMG_1606504423558.jpg
 
Tokea uhuru mpaka leo bado mna ahidi barabara tu, huoni kama mnahitaji kuachia ngazi.

Wewe kama Ccm, unamaslahi gani na Mbowe kutoka?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Tatizo ndio liko hapo, mie sio CCM wala Chadema, raia ambae nakatishwa tamaa na muongozo wa Chadema kama Chama kikuu cha upinzani.
Kama mzazi nyumba yako inayumba huwezi kutaka kuongoza mtaa. Kwanza ongoza familia yako hili utolee mfano bora kwa majirani ndio wakupe uongozi wa mtaa.

Wewe huoni umuhimu wa kuleta mawazo mapya ndani ya Chadema?
 
Back
Top Bottom