ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Wangoja nini? Mwambie msajili akaokoteze sababu kama kawaida yakeChama cha MBOWE kimejaa utapeli wa kila namna!
Hii saccos inapaswa kufutiwa usajili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangoja nini? Mwambie msajili akaokoteze sababu kama kawaida yakeChama cha MBOWE kimejaa utapeli wa kila namna!
Hii saccos inapaswa kufutiwa usajili!
Mkuu mabadiliko nje ya ccm hakuna Nyerere alisema, ccm mkiruhusu upinzani ushike dola dunia itatushangaa.Hiki ndicho kinachotokea.Kwahiyo kuleta mabadiriko kwenye nchi mpaka CCM itoke madarakani?
Kama unakubali la CCM kwanini ukubali Chadema kuwa na Mwenyekiti mpya?
Tokea uhuru mpaka leo bado mna ahidi barabara tu, huoni kama mnahitaji kuachia ngazi.Kwahiyo kuleta mabadiriko kwenye nchi mpaka CCM itoke madarakani?
Kama unakubali la CCM kwanini ukubali Chadema kuwa na Mwenyekiti mpya?
Anayegawa nyumba za umma kwa hawala zake. Raisi wa NECMwizi wa kura.
Hujui mikopo na misaada kwa ajili ya Chadema ?kilaza mmojaChama cha MBOWE kimejaa utapeli wa kila namna!
Hii saccos inapaswa kufutiwa usajili!
KIKAO KIMEAHIRISHWA?Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates
======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari
Mkutano huo utakuwa live kupitia
Acheni uhuni.Mpaka muda huu bado Viongozi Wakuu wa Chadema hawajifika ukumbini tumepewa taarifa ndo wanajiandaa kuingia
NEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
Huyo mnywa konyagi ndo ampe presha Magufuli?Hata Jiwe nae macho na akili kwenye tamko la Mbowe. Slow Slow nae hajala hata kula anasubiri tamkozi.
Sio bure, utakuwa na funza kichwani alueamya kuchachamaa.Kwamba Dunia nzima inawaangalia nyinyi na huo upuuzi wenu🤔?Aiseeh 😂😂😂Tunamalizia kuweka mitambo sawa. Turuke hewani, Dunia nzima ikitutazama. Stay tuned. On your mark fellaz... mwamba yupo kwenye podium sasa...View attachment 1636305
Tatizo ndio liko hapo, mie sio CCM wala Chadema, raia ambae nakatishwa tamaa na muongozo wa Chadema kama Chama kikuu cha upinzani.Tokea uhuru mpaka leo bado mna ahidi barabara tu, huoni kama mnahitaji kuachia ngazi.
Wewe kama Ccm, unamaslahi gani na Mbowe kutoka?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mnataka walale nayo mpate cha kusema? Au mlikuwa na mpango wa kumteka?Kwanini haya mambo yafanyike usiku?.
Bora mnywa konyagi kuliko Hilo zee lenye betri kwenye moyo, sijui anatumiaga kilevi gani, Kama siyo Gongo!!Huyo mnywa konyagi ndo ampe presha Magufuli?