johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamevuliwa vyote!Wamevuliwa uanachama au uongozi? Humu kelele zimekuwa nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamevuliwa vyote!Wamevuliwa uanachama au uongozi? Humu kelele zimekuwa nyingi
Alitakiwa afike kwenye kikao cha kamati kuu ajieleze, katudindia FUKUZAAAKamati kuu nawaomba saana chonde chonde hiyu Nasrat aliyekuwa gelezani mpunguzieni adhabu... hakujua dili lolote katolewa tu usiku kakutana live live na zari la mentari mezani...fuko la era..hata ningekuwa mimi jamani imanii imanii..afu tena katolewa kwa ulinzi mkubwa kama waziri wa ulinzi...lazima upanic
Bado binti mdogo...haya makuberi yamemponza maskini...
Mwambie jobu dawa za kurefusha maisha anunue kwa wingi aweke stoo kwake,wahisani hawatoi tenaOk tuko hapa budget tunasubiri na makamanda wenzangu!
Umekurupuka ubashiri batiliMnyika yupo kwenye wakati mgumu kwa kujaribu kupingana na mwenye kigoda ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndan ya chama. Maamuzi yake yawe ya faida au hasara, hakuna anaeruhusiwa kumpinga wazi wazi wala mafichoni
Moderator title ya uzi huu siyo kabisa!
MATAGA lazima wajiharishie kwa hii habari.Confirmed wote 19 wamevuliwa uanachama pia
Busara ya hali ya juu anastahili Kuwa paleLeo nimemheshimu sana huyu Mwamba...... Tokea amtimue Zitto leo kaonyesha ujasiri mkubwa bila kuangalia sura ya mtu.
It's a matter of principles...... Sasa tuone Mdee atahamia CCM alipodai wamemuibia kura?
sasa wafadhili wa EU itakuwaje tena zile trilioni 2 maana hu mtifuano siyo wa kawaida?Kifupi upinzani hakuna wapo kuchumia matumbo sio kutetea wananchi!
Source gani unayofuatilia wewe??Confirmed wote 19 wamevuliwa uanachama pia
Masikini wee Salary Slip. Nilikuambia jioni utakufa kabisa hukuamini. Usijifariji na matakwa yako, fahamu kilichoamriwa!Hii ndio tulikuwa tunataka kusikia.Fukuza kabisa.
"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
Tena sana, mwamba kiboko ya Magufuli na MaCCM yote. Nawaheshimu sana viongozi wangu wa CHADEMA. Anaetaka pesa aende akaunge juhudi.Mwamba umetuvusha tena
CC: Maxence MeloRekebisha, Usahihi ni Kamati kuu Chadema yawafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake.
Naskia wabunge siku hizi wanaapishwa garage ya bunge kama magari[emoji16][emoji16]ccm akili zenu zinatosha kumeza dawa za kupunguza makali ya marukanga tuPressure kwa mambo itoke wapi wakati mambo yote yalipangwa[emoji16][emoji16]
Mkuu OKW BOBAN SUNZU hivi inawezekana leo mke wako awe kati ya wale19 halafu uje utuambie huhusiki?
Hakuna kitu kinaitwa kughushi hapo, hiyo ni mipango tuu
Wamefutwa uanachama mkuu kilichobaki ni kukata rufaa tu kwa ajili ya fair justice. Otherwise ndio imetoka hiyoMimi nilitegemea watafutwa kabisa uanachama! Kwa maamuzi Haya, bado ni wabunge halali
Mjinga..kakwepa aibu...ogopa sana ukiaminiwa afu unafanya ujinga..utajaribu hata kuingia ndani ya tundu la sindano bila mafanikio...Alitakiwa afike kwenye kikao cha kamati kuu ajieleze, katudindia FUKUZAAA
Si wamefukuzwa? Unawashwa niniMasikini wee Salary Slip. Nilikuambia jioni utakufa kabisa hukuamini. Usijifariji na matakwa yako, fahamu kilichoamriwa!