Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati kuu nawaomba saana chonde chonde hiyu Nasrat aliyekuwa gelezani mpunguzieni adhabu... hakujua dili lolote katolewa tu usiku kakutana live live na zari la mentari mezani...fuko la era..hata ningekuwa mimi jamani imanii imanii..afu tena katolewa kwa ulinzi mkubwa kama waziri wa ulinzi...lazima upanic

Bado binti mdogo...haya makuberi yamemponza maskini...
Alitakiwa afike kwenye kikao cha kamati kuu ajieleze, katudindia FUKUZAAA
 
Chadema inameguka taratibu...

Haya mapicha picha yanakifanya Chadema kikose kuaminiwa na wananchi...
 
Um
Mnyika yupo kwenye wakati mgumu kwa kujaribu kupingana na mwenye kigoda ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndan ya chama. Maamuzi yake yawe ya faida au hasara, hakuna anaeruhusiwa kumpinga wazi wazi wala mafichoni
Umekurupuka ubashiri batili
 
Hizi hela za wafadhili zimeipoteza kabisa serikali na chama, wamefanya mambo ya kitoto sana, unaapisha Bila Siwa
 
That's my chairman
20201127_233022.jpg
 
Pressure kwa mambo itoke wapi wakati mambo yote yalipangwa[emoji16][emoji16]



Mkuu OKW BOBAN SUNZU hivi inawezekana leo mke wako awe kati ya wale19 halafu uje utuambie huhusiki?

Hakuna kitu kinaitwa kughushi hapo, hiyo ni mipango tuu
Naskia wabunge siku hizi wanaapishwa garage ya bunge kama magari[emoji16][emoji16]ccm akili zenu zinatosha kumeza dawa za kupunguza makali ya marukanga tu
 
Alitakiwa afike kwenye kikao cha kamati kuu ajieleze, katudindia FUKUZAAA
Mjinga..kakwepa aibu...ogopa sana ukiaminiwa afu unafanya ujinga..utajaribu hata kuingia ndani ya tundu la sindano bila mafanikio...

Ogopa sana dhambi ya usaliti...ni mbaya mno inaweza kukuua...muulize Yuda baada ya jogoo kuwika mara ya tatu nini kilimpata
 
Back
Top Bottom