Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,832
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
 
Usajili WA forward tumeufanya Kenya 🇰🇪 no reform no elections.

Nikipita pale ako na bunge ,CBE mkabala na uwanja WA Dodoma secondary nakuta Gen Z (Tz) ako na usingizi so now tume deployed Kenya workforce. NRNE.
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
Ikae kwanza kujadili kutekwa na kupotezwa kwa Mdude, Soka, Kipanya, Ben Saanane , Amani Manengelo na wengineo wengi
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
Bila tyranny nchini kwetu ni lipi kati ya haya bado lingetokea?
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....

Inchi ambayo inafanya biashara kubwa na Tanzania ni kenya,

Ichi ambayo inaongoza kununua bidhaa zetu ni kenya

Ongeza na hayo
 
Ww unamuonaje?

Una haki ya kumchagua kiongozi unaemtaka wewe na akawa kiongozi wako? Kura yako inaheshimiwa?
unapata wap nguvu ya kuanza kumtetea mtu ambae lengo lake ni kujinufaisha yeye peke yake, yeye kila sku ndo mwenye matatizo
 
Back
Top Bottom