Ndo uwezo wa akili zako na Rais wako, nenda kaone wanavyomkaanga huko X; hatorudia alijua Afrika Mashariki wote ni mazuzu kama TanganyikaYapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.
ongezea na mengine....
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#