Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....

Yes. Unakimbilia kuliko salama. Ulitaka wasikimbie Muwamalize...?
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
Wewe ulitaka wakimbilie wapi, CCM inaharibu hii nchi yetu kwa kweli.
 
Tanzania na Kenya tunaishi kwa Amani kabisa!
Kenya hawajaja kuandamana Tanzania! Kutoa maoni kuhusiana na mwenendo wa kesi ya Lissu siyo kosa! Jumuia ya Kimataifa,EU wametoa maoni yao,wote hao wameungana na baadhi ya Watanzania wanaopiga kelele kuhusiana na mwenendo wa kesi ya Lissu!
Serikali yetu inachofanya ni sawa sawa na baba mwenye nyumba anapiga na kuua watoto,harafu majirani wakipiga kelele kuhusiana na anachofanya anakuja juu na kusema majirani wanaingilia maswala ya nyumba yake.
MTENDEENI HAKI LISSU.
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
Bunge hili hili lililo mfukoni mwa samia? Itoshe tu kusema awamu hii si bunge wala mahakama, nchi 8naongozwa kwa utashi wa 'Samia & family friends'
 
Tanzania na Kenya tunaishi kwa Amani kabisa!
Kenya hawajaja kuandamana Tanzania! Kutoa maoni kuhusiana na mwenendo wa kesi ya Lissu siyo kosa! Jumuia ya Kimataifa,EU wametoa maoni yao,wote hao wameungana na baadhi ya Watanzania wanaopiga kelele kuhusiana na mwenendo wa kesi ya Lissu!
Serikali yetu inachofanya ni sawa sawa na baba mwenye nyumba anapiga na kuua watoto,harafu majirani wakipiga kelele kuhusiana na anachofanya anakuja juu na kusema majirani wanaingilia maswala ya nyumba yake.
MTENDEENI HAKI LISSU.
Umegonga mule mule! Wahenga walikua wanamkalisha kitako chini mwanamke pindi mtoto anapozaliwa na dalili za kubemendwa! Ni kosa la kiufundi kumbemenda mwanao. Samia njia yake ya kutumia mabavu ku oppress upinzani ilikuwa ya kikoloni ila ilishindikana na ndiyo maana mataifa mengi yapo huru,japo kwa kuwatoa wakolini weupe na wakina Samia kuchukua nafasi zao kimatendo.
 
Bado tupo ujimani kweli. Yaani tourism hatuijui vizuri. Kuna medical tourism, judicial tourism na Mambo mengine mengi. Watu kuja kutalii na kuja kutazama mnavyofanya Mambo yenu kisheria, tulivyo wajinga tunaona tunaingiliwa Mambo yetu ya ndani. Huu si ujinga huu?
Mbona sisi tunaenda kwao? Na hatupati shida Kama tunazowapatia wao?
Hatuwezi kuishi kizamani ktk mmuda huu kisa tu tuna hofu ya demokrasia. Ni ujinga kabisa.
 
Kwa muktadha huu hata hawa wakoloni wetu kina samia kuhudhuria hafla za kitaifa za nchi nyingine ni sawa na kuingilia mambo ya ndani ya nchi husika!
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
Usisahau wapo waliotoka Uganda na Comoro pia.
Na mabalozi wa nchi za Ulaya unawaweka wapi?
 
Kwakweli kiusalama tusipuuzie hichi kitu.Mfano Kenya Wana spirit Kubwa ya kujitoa bila kuogopa Mtu.
Sisi nikulinda mipaka na utulivu.
 
Bado tupo ujimani kweli. Yaani tourism hatuijui vizuri. Kuna medical tourism, judicial tourism na Mambo mengine mengi. Watu kuja kutalii na kuja kutazama mnavyofanya Mambo yenu kisheria, tulivyo wajinga tunaona tunaingiliwa Mambo yetu ya ndani. Huu si ujinga huu?
Mbona sisi tunaenda kwao? Na hatupati shida Kama tunazowapatia wao?
Hatuwezi kuishi kizamani ktk mmuda huu kisa tu tuna hofu ya demokrasia. Ni ujinga kabisa.
Yaani Martha Karua alikuja kutalii??
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
Kwanini wasianze kujadili utooshaji wa 15B kwa ajili ya kazi maalum ya siri?
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
Hata wakati wa Nyerere walikuwa wanapitia Kenya,kwa hiyo haijaanza leo,Kenya ni ulaya ya Africa Mashariki
 
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:

1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.

ongezea na mengine....
Kenya ina mkono mrefu. Wakenya walimuokoa Lissu.

Kenya inaweza Fanya lolote kwenu. Ina jeshi Bora sana kuliko tpdf
 
Back
Top Bottom