Kazi mnayo, sisi tunaangalia tu jinsi mnavyopambana na majirani zenu.Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.
ongezea na mengine....
Wanaojinufaisha wenyewe tumeona wanavyonunua viwanja kwa mabilioni ya fedha wanayotuibia wananchi.
Kuna chizi ana faili milembe, akiongea mate yanamtoka mdomoni!!Nani anatetewa?
Mdude yupo wapi? Waliomshambulia Padre Kitima wapo wapi? Ben Saanane yupo wapi? Soka yupo wapi? Amani Manengelo yupo wapi? Deonis Kipanya yupo wapi? Wauaji wa Mzee Kibao wapo wapi?
Endelea kujitoa ufahamu. Siku yenu inakuja.Kuna chizi ana faili milembe, akiongea mate yanamtoka mdomoni!!
mm nkiona mtu yuko chadema naona kama 🤣 🤣 🤣 🤣 au basiWanaojinufaisha wenyewe tumeona wanavyonunua viwanja kwa mabilioni ya fedha wanayotuibia wananchi.
Chadema ndo watetezi wa kweli wa Watanzania.mm nkiona mtu yuko chadema naona kama 🤣 🤣 🤣 🤣 au basi
Siku yako au!!?Endelea kujitoa ufahamu. Siku yenu inakuja.
eti nn 🤣 🤣 🤣 , bora ata uchaguzi ufanyike chama kingine kipewe chama kikuu cha upinzanChadema ndo watetezi wa kweli wa Watanzania.
BTW mm toka nmeanza kupiga kura ni mtu mmoja tu wa chadema ndo nmeshawahi kumpigia kura na ni kwa sababu ni ndugu, and alishindaChadema ndo watetezi wa kweli wa Watanzania.
Kwa sabau hamna akili lazima mtake hayo.eti nn 🤣 🤣 🤣 , bora ata uchaguzi ufanyike chama kingine kipewe chama kikuu cha upinzan
Kwanini wasijadili kuuwawa kwa kina kibao na mdude?. Mbona hamjajadili kupigwa Lisu risasi?. Zezeta sana wewe.Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.
ongezea na mengine....
mm hua nampiga kura kutokana na akili ya mtu, na ndo watu wengine wote wanapiga ivo, nshawahi kumpigia mtu wa chadema kwa sababu ya undugu ila kama sio ivo daahKwa sabau hamna akili lazima mtake hayo.
CAG report haihusiani na kamati hiiImeshindwa kujadili CAG ripoti itajadili mambo mengine!!
Sio tatizo kuwajadili hao wapigania uhuru kutoka KenyaMbona wapigania uhuru wa Afrika kusini, Zimbabwe na Msumbiji walikaa Tanzania kule Bagamoyo na Morogoro?
Na nyie mlijadiliwa kuwapa hifadhi?
Ukikosa Akili TIMAMU unakuwa umekufa siku nyingi ili bado unatembea kama msukule tu ndio ww mleta mada.Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.
ongezea na mengine....
Poor You!Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana kuelekea canada
3-Maria Sarungi kakimbilia Kenya
4-Martha Karua na kundi kubwa la wanaharakati wamekuja kutolea Kenya kuhanikiza kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.
ongezea na mengine....
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#