Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Waache tu hao ndege wafe maana wapo Eapoti wanalalia tu hawatotoi wao ni kulalia tu huku sisi tunawalisha na wananenepeana kwa tozo za lazima.Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Toa hoja kwa kuangalia matumizi yaliyopo sasa, Dar to moro, moro to Dar, to mwanakwelekwe, to Bujumbura, to Lusaka to........, and Unategemea upate faida for luxury?Tuliaminishwa kuwa hili shirika linaingiza faida mpaka wakaanda tukio live kabisa la kutoa gawio kwa serikali
Heri yenu wenye akili msio weza kuzitumia zikaleta angalau ata matokeo hasiwe are living Jiwe's effect
Hizo hasara zingine lazima zije kwasababu zililipiwa cash na Marehemu Pombe kwa pesa za mifuko ya wastaafu ambao wanapigwa dana-dana kupokea mafao yao.Na nyingine zinakuja dadadeki...
Eti tuliwaona mazwazwa, mliingia kwenye uwanja wa medani kupinga? Kama shujaa wetu Hamza?Umenena vema ndg. Walituona mazwazwa sana wakati tunapinga manunuzi ya ngede bila kuwa na credible business plan. Mzee kashikilia bango
Mambo mengine mpunguze ukali wa maneno maana waweza kukuta nawe ni mhusika - kama Wabunge wa CCM wanatufanya Watz hatuna aikili, nani anawachagua? Kama tunawachagua sisi wenyewe hakafu wanatufanya hatuna akili na bado tunawachagua tena na tena - hapo asiye na akili ni nani?Pythagoras,
Hawa Wabunge wa CCM wanatufanya Watz hatuna akili!! Wapinzani wakipiga kelele sana Bungeni kuhusu ununuzi wa hii midege ya MABILIONI ambayo HAINA FAIDA YOYOTE KWA ATCL, SERIKALI NA WATZ!!!
Wabunge hawahawa walikuwa wakishangilia na kupiga meza kukubaliana na ujinga huu......Pambaf kabisa!!!
Pumbavu kqbisaATCL hii au ni tofauti na ile ya JIWE aliyokuwa anasema inapata faida?
Tena kwa kuiua fast jet na precision air ili atawale soko mwenyewe?
Hasara haiwezi kuja eti kwa kuwa zililipiwa cash -no, Hasara inakuja kwa sababu ya gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko kipato. Hayo masuala ya wastaafu kutolipwa labda hiyo ije kama laana lakini si hasara.Hizo hasara zingine lazima zije kwasababu zililipiwa cash na Marehemu Pombe kwa pesa za mifuko ya wastaafu ambao wanapigwa dana-dana kupokea mafao yao.
Aya furahia utawala wa SSH huku usilalamike kuhusu lundo la tozoZote hizi ni matokeo ya utawala mbovu wa Magufuli. Awamu hii haihusiki.
Yaani unauliza kama vile hujui Dar to dom, dom to Dar? Dar to Mwanakwelekwe? By Airbus?Hili shirika limeanza kula hasara toka lianze kuruka enzi za Mwendazake na deni linazidi kukua,hili deni hasa linasababishwa na nini? Wanakodi nini?
Nchi hii aliiweza Magufuli tu, ofisi za umma kwa sasa ni uozo tu, hawafanyi kazi kabisa, wakifikq ofisi ni kuchart tu hamna la maanaKumbe walieithi madeni ya awali? Sasa wanavyochelewa deni linakua plus hasara wanazopata kwa vile hawapati faida yoyote.
tuuze baadhi ya bombadia ili deni lilipwe,dawa ya deni ni kililipaKamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
wewe unadhani ni kwanini ipo hivyo?Nchi hii aliiweza Magufuli tu, ofisi za umma kwa sasa ni uozo tu, hawafanyi kazi kabisa, wakifikq ofisi ni kuchart tu hamna la maana
legacyNdge zile zilishanunuliwa na mwendazake. Hawana pa kuzipeleka.
Mwenye mji anadhurura na kubadilisha nguo kila saa,wewe unadhani ni kwanini ipo hivyo?
Siro ameshasema wazazi wawe wanaangalia na watoto wa kutuzalia.Tatizo wazazi waliowazaa hao maccm na wanasiasa wa Tanzania
Blaza..eitisielo ife kabisa..Yule mzee alituona mazwazwa sana...
Kamati inasemaje kuhusu ule uwanja wa kimataifa wa Chato? Njiwa zinatua pale au tufanye uwanja wa ng'ombe kuotea jua wapate vitamin D kwa wingi?
Wamegeuza bunge kuwa kikao cha CCM alafu sasa hivi wabunge hao-hao wanapigwa butwaa.wapambane tu ndio watajua kwenye sherehe na majirani wanatakiwa kuwepo wao wanadhani kuwa peke yao ndio ushindi au furaha!
Tunaweza kupata wapi Hiz Financial statementsKamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi