Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
Waache tu hao ndege wafe maana wapo Eapoti wanalalia tu hawatotoi wao ni kulalia tu huku sisi tunawalisha na wananenepeana kwa tozo za lazima.
 
Tuliaminishwa kuwa hili shirika linaingiza faida mpaka wakaanda tukio live kabisa la kutoa gawio kwa serikali
Toa hoja kwa kuangalia matumizi yaliyopo sasa, Dar to moro, moro to Dar, to mwanakwelekwe, to Bujumbura, to Lusaka to........, and Unategemea upate faida for luxury?
Msiake mafta kumsemea mtu aliyetuheshimisha kimataifa
 
Umenena vema ndg. Walituona mazwazwa sana wakati tunapinga manunuzi ya ngede bila kuwa na credible business plan. Mzee kashikilia bango
Eti tuliwaona mazwazwa, mliingia kwenye uwanja wa medani kupinga? Kama shujaa wetu Hamza?
Yaani keyboard warrior unajiita ulipinga? [emoji1787][emoji1787]
Ficheni uzwazwa wenu lasivyo mtaendelea kuwa mazwawazwa km ndio mwendo wa kulalamika kwa vidole typing
 
Pythagoras,
Hawa Wabunge wa CCM wanatufanya Watz hatuna akili!! Wapinzani wakipiga kelele sana Bungeni kuhusu ununuzi wa hii midege ya MABILIONI ambayo HAINA FAIDA YOYOTE KWA ATCL, SERIKALI NA WATZ!!!
Wabunge hawahawa walikuwa wakishangilia na kupiga meza kukubaliana na ujinga huu......Pambaf kabisa!!!
Mambo mengine mpunguze ukali wa maneno maana waweza kukuta nawe ni mhusika - kama Wabunge wa CCM wanatufanya Watz hatuna aikili, nani anawachagua? Kama tunawachagua sisi wenyewe hakafu wanatufanya hatuna akili na bado tunawachagua tena na tena - hapo asiye na akili ni nani?
 
ATCL hii au ni tofauti na ile ya JIWE aliyokuwa anasema inapata faida?
Tena kwa kuiua fast jet na precision air ili atawale soko mwenyewe?
Pumbavu kqbisa
Kipindi chake ulimuona anatanua kwa Airbus? Kwenda dom au Dar au chato?
Uchungu wa Mali aujuae mwenye MALI (JPM)
Mali ya kurithi haiUmi(SSH)
 
Hizo hasara zingine lazima zije kwasababu zililipiwa cash na Marehemu Pombe kwa pesa za mifuko ya wastaafu ambao wanapigwa dana-dana kupokea mafao yao.
Hasara haiwezi kuja eti kwa kuwa zililipiwa cash -no, Hasara inakuja kwa sababu ya gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko kipato. Hayo masuala ya wastaafu kutolipwa labda hiyo ije kama laana lakini si hasara.
 
Hili shirika limeanza kula hasara toka lianze kuruka enzi za Mwendazake na deni linazidi kukua,hili deni hasa linasababishwa na nini? Wanakodi nini?
Yaani unauliza kama vile hujui Dar to dom, dom to Dar? Dar to Mwanakwelekwe? By Airbus?
 
Kumbe walieithi madeni ya awali? Sasa wanavyochelewa deni linakua plus hasara wanazopata kwa vile hawapati faida yoyote.
Nchi hii aliiweza Magufuli tu, ofisi za umma kwa sasa ni uozo tu, hawafanyi kazi kabisa, wakifikq ofisi ni kuchart tu hamna la maana
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
tuuze baadhi ya bombadia ili deni lilipwe,dawa ya deni ni kililipa
 
1630321779849.jpeg
 
wewe unadhani ni kwanini ipo hivyo?
Mwenye mji anadhurura na kubadilisha nguo kila saa,
Huku taasisi zake zikienda kwa mdundo ule ule,

Mzee wa Chato alikuwa wa demo kwa taasisi Zake kwa kufanya kazi ata usku wa manane na mafaili yakiwa kitandani kwake nyakati zingne, so watendaji pia walicheza ngoma ya mwenye nyumba kwa staili ile ile
 
Yule mzee alituona mazwazwa sana...

Kamati inasemaje kuhusu ule uwanja wa kimataifa wa Chato? Njiwa zinatua pale au tufanye uwanja wa ng'ombe kuotea jua wapate vitamin D kwa wingi?
Blaza..eitisielo ife kabisa..
Kwa uwanja wa ndege wa Chato sisi wavuvi wa Dagaa wa ziwa Victoria ambao tupo zaidi chato tumetuma ombi letu la kuutumia uwanja huu kama sehemu ya kuanikia Dagaa kabla hatujafanya mauzo yetu..tetesi ni kwamba ikulu imekubali tayari.
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
Tunaweza kupata wapi Hiz Financial statements
 
Back
Top Bottom