MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
- Thread starter
- #21
Pascal Mayalla tusitaniane mkuu . me nahisi huenda haya majibu yako sio wewe katika uhalisia wako.Mwala, asante kuni tag,
Hawa Wazungu buana... Tanzania tuna freedom of expression na freedom of assembly hatuna haja ya kufunzwa na Wazungu hawa!.
Uchunguzi ulishindikana kufuatia tukio hilo kushuhudiwa na mashuhuda wawili tuu, Lissu na dereva wake, hivyo anasubiriwa ndipo uchunguzi uanze.
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
P
INTELEJINSIA ya tz inaouwezo wa kujua na inajua nani ndio muhisika wa mpango wa mauaji waliyopanga. pia kwa kusaidia tu kidogo. waanze na CCTV camea zilizong'olewa na pia wahoji walinzi wa eneo husika kwanini siku ya tukio hawakuwepo kazini na 3 BASHITE alifata nini DODOMA wakati mkuu wake alikuwa na kikao muhimu IKULU mkoani mwake?
umeshajaibu kuiuliza maswali haya?