Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

Pascal Mayalla tusitaniane mkuu . me nahisi huenda haya majibu yako sio wewe katika uhalisia wako.
INTELEJINSIA ya tz inaouwezo wa kujua na inajua nani ndio muhisika wa mpango wa mauaji waliyopanga. pia kwa kusaidia tu kidogo. waanze na CCTV camea zilizong'olewa na pia wahoji walinzi wa eneo husika kwanini siku ya tukio hawakuwepo kazini na 3 BASHITE alifata nini DODOMA wakati mkuu wake alikuwa na kikao muhimu IKULU mkoani mwake?
umeshajaibu kuiuliza maswali haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…