Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Bunge la Ulaya hivi punde limejadili hali ya kisiasa nchini Tanzania kabla na baada ya uchaguzi, na kuzishauri nchi washirika kupunguza zaidi misaada inayotolewa kwa Tanzania.

Wachangiaji wengi wamependekeza kusitishwa au kupunguzwa kwa misaada inayotolewa na nchi washirika wa EU. Wanahoji nini maana ya misaada yao kama lengo lao la utawala bora halitekelezwi na watawala.

Msaada wa kibajeti uliokuwa unatolewa na EU umesitishwa hadi mwafaka wa kisiasa ufikiwe.

“No budget support until EU Commission sees a fundamental improvement in the political dialogue!” - H. Stausboll.

“We must consider ECONOMIC SANCTIONS TO TANZANIA because of the elections and the TERRORIST ATTACKS in the South of Tanzania and North of Mozambique” -PauloRangel_pt EPP.

“We have had a very difficult relationship with the government of Tanzania. We will reconsider Budget support unless we see a clear direction in the political environment “ - @HStausboll.

“The elections in Tanzania was a travesty of Justice. It was Lukashenko style type of an election. Can we still trust The Tanzania govt with aid?” - Gahler Michael, @Europarl_EN.

Wameshauri kuliko kuipatia serikali ambayo inaweza kuitumia vibaya kufifisha haki za binadamu ni bora kuvipatia moja kwa moja vikundi vinavyojihusisha na kutetea haki za binadamu.

Wamehoji EU kuipatia serikali ya Tanzania Euro 27m kwa ajili ya Korona ambayo serikali inasema Tanzania haina Korona.


Mkataba wetu na EU.

View attachment 1629980
Ni bunge au kamati ya bunge? Shida yako itakuwa umeishia la 4C ndo maana unapuyanga tu na hujui chochote!
 
Kwa akili zao, Tsh 74B zilikua zinatosha kuhudumia watu takribani 60M? Hapo jumlisha mashart ya lockdown? Watu wasifanye kazi?

Mbona hiyo pesa ilikua inatosha kununulia bakakoa na sanitizers only af kwa muda wa miez miwili tu.

Af ikumbukwe mkopo hurejeshwa, kwahyo baada ya kupokea hiyo ni pesa yako halali kabisa.
 
Kwa hizi comments humu ni wazi tuna mazuzu wengi sana nchi hii, halafu wengine ni watu wazima na familia kabisa, hayaelewi kitu ni ushabiki maandazi tu,
Niseme tu Nchi hii itabaki mikononi mwa wazalendo hadi pele haya mazuzu yatapevuka kiakili.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Yaaani Biden Ndo atakuja kupiga msumali wa mwisho. Hiyo inaitwa Golden goal
Kwenye maisha yako, muheshimu na Kumwogopa Mungu tu, kamwe usimsujudie mwanadamu,
Zuzu wewe, ukute hapo wewe ni baba mzima unakuwa na akili kama za mbuzi.
 
Lazima niogope tumekula pesa zao €27m tukiwadanganya za korona wakati serikali imesema hatuna korona tutazilipaje.
Mazuzu mpo wengi shule hamjaenda na hamuelewi chochote zaidi ya kushabikia kama wendawazimu
 
Ndio nyie muitwao watu pumbavu,malofa,wapuuzi,
mtu km wewe unafurahia nini sasa hapo ukute unamiliki banda la kuku wa kienyeji,kanyumbaa hakijamalizika na watoto kibao na maybe laptop au desktop au unashinda cafe.
Bil 75 kwa nchi yetu hiyo ni pesa ya chai,
Brittain wapo hawana abari hiyo wanaweza toa mara 10,yupo mchina,yupo mrusi,na huyo aliytoa hiyo kauli atapewa onyo na wenzie kwa taarifa yako.
endelea kuwanga
KUMBE MABEBERU mnawatamani....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]eti Britain anaweza toa Mara kumi ya HIZO.....mrusi,mchina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] MABEBERU hoyeeeee .....umbwaaaah

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Tunajua kukosa mkopo ni taabu ila wasitulazimishe kuwa watumwa wao. Walijipanga kuiongoza Tanzania kupitia vibaraka wao sasa wameukosa urais ishakua nongwa

Hawataki tuwaache wakae na pesa zao. Sisi tukitaka mikopo tutaenda kwa marafiki wa utotoni China hata Korea.....tutaokoteza okoteza lakini hatutakufa!

Na baada ya hapo wasitujue sisi wala mali zetu
Mchina atatufilisi kabisa na mikataba yake ya kitapeli.
Umeshau masharti ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo?

Tujiandae tu kuwa kama Zimbawe ya Mugabe.
 
Kwa hizi comments humu ni wazi tuna mazuzu wengi sana nchi hii, halafu wengine ni watu wazima na familia kabisa, hayaelewi kitu ni ushabiki maandazi tu,
Niseme tu Nchi hii itabaki mikononi mwa wazalendo hadi pele haya mazuzu yatapevuka kiakili.
Wazalendo wanaokula pesa ya CORONA....[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]KWELI WE ZUZU..

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Huna mamlaka ya kutoa ushauri wewe kibaraka...stupid guy...ushauri endelea kumpa Amsterdam...this country will remain the same...and more actions are coming against you...we will prosper without you...nyie endeleeni kulala na wazungu..hatutageuka nyuma...
Harakati za hivi vijamaa visivyojua hata vinataka nini kwenye Maisha zinafaa sasa kupigwa spana mazima.
 
"Tumeendesha uchaguzi kwa fedha zetu za ndani".. mwisho wa kunukuu kauli ya mobutu miaka ile...
na lengo kuu la kuendesha uchaguzi kwa fedha za ndani ni ili aubake huo uchaguzi, na alifanikiwa!.

masharti ya kupokea fedha za nje ni LAZIMA waangalizi wa kimataifa waje nchini kushuhudia uchaguzi huo, jambo ambalo SIRIkali yetu haikutaka maana tayari walishakuwa na nia ovu toka mwanzo...rejea namna uchaguzi serikali za mitaa ulivyoendeshwa!.
 
Yani huyu kwa uroho wa madaraka inafikia hatua anatamani siku moja aamke akute tanzania imezama haipo tena.

Alivyo mjinga na mpumbavu anashindwa kutafakari je tanzania ikizama yeye atakuwa wapi?

Tamaa ya madaraka imemtoa ufahamu kabisa mbwa huyu.
Yani yuko radhi watu zaidi ya Milioni 50 wapate ugumu zaidi wa maisha ili atimize tamaa yake ya madaraka ya nchi na kushinda vita yake binafsi dhidi ya utawala. Halafu eti aje tena 2025 apewe Uraisi. Ni kama ana uchizi flani hivi.
 
na lengo kuu la kuendesha uchaguzi kwa fedha za ndani ni ili aubake huo uchaguzi, na alifanikiwa!.

masharti ya kupokea fedha za nje ni LAZIMA waangalizi wa kimataifa waje nchini kushuhudia uchaguzi huo, jambo ambalo SIRIkali yetu haikutaka maana tayari walishakuwa na nia ovu toka mwanzo...rejea namna uchaguzi serikali za mitaa ulivyoendeshwa!.

Tundu Lissu, Maalimu Seif, Zitto Kabwe et al walilijua hilo mapema lakini tujiulize kwanini walidharau ukweli huo na hawakuufanyia kazi
 
Hili tamko uchwara la mbunge kutoka ujerumani haliwezi kuisumbua kichwa Tanzania kwani ni muendelezo wa lile genge la wapiga debe wa ushoga duniani kutaka kuimpose ushoga nchi nyingine.

Mwaka 2018 walitoa tamko na waliwasilisha bungeni kuhusu misinformation wanazopewa na kina Lissu.

Ukiwa na wabunge waongo waongo namna hii ndio maana BREXIT ilifanikiwa.
 
Back
Top Bottom