Huna lolote wewe kibaraka!Kwa iyo ndo mnawaletea kuburi???๐๐๐
Sasa subirini matokeo yake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna lolote wewe kibaraka!Kwa iyo ndo mnawaletea kuburi???๐๐๐
Sasa subirini matokeo yake!
Tunawakumbusha wajue hatujawahi sahau kwa wao ni fisi wala sio kondoo kama wanavyojidaiKwa iyo ndo mnawaletea kuburi???๐๐๐
Sasa subirini matokeo yake!
Hiyo ni sawa wewe uwe mfanyabiashara mkubwa kisha unamzuia machinga asiingie kweye soko lenye wateja kisha ujisifu kuwa machinga hawezi kukua na kufikia uwezo kama wakoHatuwezi broo.. Izo ni mbwembwe za Bongo comedy. Hapa wakiamua kutukazia mtarudi kwa mlango wa nyuma kupiga magoti na kulamba miguu turudishiwe misaada..
Tukibaguana hivi, tukitesana na kuoneana hivi tutaishia kuwa nchi ya hovyo.Sisi tunataka kujitegemea siyo kuegemea kwa mtu kama wana chadema wanavyolilia
Huu ni mfumo wa kivuta Bangi kwani bado unashinda ukivuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba bado?Huyu Lord dening inabidi Mbowe sijui ampe cheo gani maana ana mawenge ya kushindwa
Kama unategemea kuumia wote basi tegemea kuumia wachache tena sana.Kumbe unajua kuwa wapinzani hawatenewi haki?
Bora tuumie wote,sio kila siku wanaumia wafuasi wa upinzani kwa kutekwa,kupigwa,kubambikiziwa kesi,kupigwa risasi,kufungwa na hata kuuwawa!
Walau mbinyo ukiendelea kuwa mkali,wote tutapata maumivu!Na hiyo kwangu ni sawa mpaka pale uhuru na haki vitatamalaki kwa wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa!
Ni zaidi ya miezi minne sasa akina Nusrat Henje wako mahabusu kwa kuimba "mungu ibariki chadema......",wakati uvccm hakuna aliyeguswa japo na wao waliimba "Mungu mmbariki Magufuli. ....."
Bora tuumie wote,waongeze na vikwazo kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana Musiba kakuvutisha sana bangi pale chumbani kwake, maana huachagi kumtaja kwa mtindo huu,!Huu ni mfumo wa kivuta Bangi kwani bado unashinda ukivuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba bado?
Hiyo habari ya kura za magodown ni ya kutengeneza hapo ufipa.Unabisha kwamba sio Binadamu wa Kwanza? niambie mwafrika gani aliwahi kumkoloni Mzungu...mpaka sasa mtu mweusi ameweza nini ikiwa hata uchaguzi mnashindwa kujiamini mnapigia Kura kwenye magodown mnazileta na mabegi kwenye vituo
Nioneshe hivyo viwanda na bidhaa gani tunazouza nje kutokana na hivyo viwandaKila mtu ashinde mechi zake wewe umewekeza katika nchi kuwekewa vikwazo mimi nipo katika imani ya MAENDELEO makubwa miundo mbinu,kuongeza ajira kwa vijana kwa kuhakikisha viwanda vinastawi, Kuboresha sekta ya afya na mengine mengi mazuri yanayokuja...ila nyie mpo bunge la Ulaya ni utumwa mkubwa wa fikra.
Mfano Uzalendo wa kuwabambikia kesi kesi uonevu kuwapiga risasi wapinzani ni Uzalendo gani huo, Uhuru wa Nchi kufanya uchaguzi wa maigizo kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu huo ni uhuru gani? Kuwa Nchi huru siyo kupora haki za wapiga kura, sasa IGP kaja na visingizio vya ugaidi Zanzibar ili wapate kisingizio vya kuwabambikia kesi wapinzani hakuna maendeleo kwenye Nchi yenye vioja manyanyaso kwa wapinzani , ni vigumu Tanzania ipate maendeleo kwani pesa nyingi inapotelea kwenye matumizi ya kuminya demokrasia badala ya maendeleoTukibaguana hivi, tukitesana na kuoneana hivi tutaishia kuwa nchi ya hovyo.
Mataifa makubwa macho yao yapo Afrika, wanafanya kila namna ili waendelee kuifaidi Africa.
Africa tuna shida sana ya uongozi kwani viongozi wengi ni wabinafsi sana na ni mafisadi.
Uroho wa madaraka ni moja ya chanzo kikubwa cha ufisafi Africa.
Mataifa makubwa yanatafua mianya ya kuingilia Afrika, na mianya hiyo tunaitengeneza wenyewe kwa kushindwa kuunganisha wanannchi.
Baadho ya watu wanaitazama hoja ya kuitafsiri demokeasia ya Afrika kama ni kigezo cha kutawala kidikteta.
Hulka ya binadamu ni kupenda kuwa uhuru,, lakini uhuru unatakiwa uwe na mipaka ambapo mipaka hiyo ndiyo sheria zetu.
Bado unakuta kiongozi wa Afrika anachagua sheria za kuziheshimu na zile zinazombana anatafuta namna ya kuziondoa au kuzibadilisha.
Ameshau kuwa na yeye pia ni binadamu ambaye uhuru wake una mipaka.(sheria zetu)
Mzungu anatumia vizuri utengano wetu (mianya) katika kuendelea kututawala.
Ndio mnaloenda kuomba msaada mataga kama hamna shida ondoeni gari zote zilizoandikwa DFP ili muendeshe nchi kila ofisi ya mkuu wa mkoa DFP hujui kuwa mliomba mkasaidiwaKila mtu ashinde mechi zake wewe umewekeza katika nchi kuwekewa vikwazo mimi nipo katika imani ya MAENDELEO makubwa miundo mbinu,kuongeza ajira kwa vijana kwa kuhakikisha viwanda vinastawi, Kuboresha sekta ya afya na mengine mengi mazuri yanayokuja...ila nyie mpo bunge la Ulaya ni utumwa mkubwa wa fikra.
Mfuja jasho yupiNchi hii Ni ya wavuja jasho ambao wanapambana usiku na mchana kujenga nchi.
Kuna wahuni wachache kwa maslahi ya matumbo yao na vijisent kidogo wanataka kurudisha nyuma.
Wapuuzi sana
Hatuoni wakutupa msendeleo shame on youHovyo! Kabisa. Mazuzu wanaojitekenya na kujichekesha wenyewe wanatia kichefuchefu!
Wanashindwaje kujua km hatua zozote za kuihujumu Tanzania na raia wake, zitamuathiri hata yeye na jamaa zake, kwa namna moja ama nyengine!
Wakati huu ambapo tunajitambua kuwa maendeleo yetu lazima yaletwe na jitihada za sisi wenyewe, badala ya kutegemea bakuli la wafadhili ni muhimu kila raia kuunga mkono jitihada hizo, na kuwa mstari wa mbele kutetea uhuru wetu kama taifa na utashi wetu kama binaadamu. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!
Makonda Bashite alipiga kelele juu ya ushoga ni wabunge hao hao wa CCM walimpinga Bungeni wakiongozwa na kange lugola aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani huku wewe ukiwa unaishi kinyumba na cyprian Musiba na Le mutuz ndiyo maana umejitoa fahamu zote unatetea ufedhuri uovu mateso manyanyaso uonevu wote wa CCM kwa wapinzani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana Musiba kakuvutisha sana bangi pale chumbani kwake, maana huachagi kumtaja kwa mtindo huu,!
Hebu twambie alikuwa anakuvutisha bangi tu kweli au kuna mambo yenu ya faraga aliyomwambia mgombea wenu kwamba atawapa uhuru myafanya alikuwa anakufanyia?
Kwa sababu waafrika tulio wengi hatujitambuiMkuu unajua ICC inachunguza kesi za aina gani?
Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......
Inawezekana kama nchi kuna mambo hayako sawa,ila kama jamii forum ninayoamini wengi ni watu wa kufuatilia mambo na kuyaelewa vizuri,ila kuendelea kushangilia na kufurahia nchi kusemwa vibaya,ukidhani ndiyo maisha yako yatakuwa bora ni kujidanganya tu.....
Mabadiliko yanaanza na sisi WaTz wenyewe,hakuna wakutusaidia maana kila mtu anaangalia maslahi yake
๐๐๐Yule mwenyekiti yuko bold vibaya sana. Amenufurahisha pale aliposema tunawezaje kutoa hela za walipa kodi wa ulaya kwa mtu ambae anadidimiza Haki za binadamu!!
Watu wanawapa hela hadi za madawa na kusambazaumeme vijijini alafu unasema hawapo serious man shida zetu???? Kajipange upya kilaza wa Lumumba wewe!!
Pesa zote za wafuja jasho zinaliwa na akina Polepole kwa kisingizio cha kurejeshwa mfumo wa chama kimoja, CCM ndiyo chama pekee Duniani hutumia pesa nyingi kukandamiza demokrasia badala ya maendeleoMfuja jasho yupi