The atlantic
JF-Expert Member
- Aug 1, 2023
- 390
- 670
Niliporuhusu akili yangu kuwaza freely sio kushikiwa na vyama vya kihuniLini uliwahi kujua mambo yenye tija?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliporuhusu akili yangu kuwaza freely sio kushikiwa na vyama vya kihuniLini uliwahi kujua mambo yenye tija?
Kwa nini na wao wanafanyakazi wakati tuna misiba mitatu mikubwa?Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa
Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike
Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa
Source Upendo TV
Mlale Unono 😃😃
Basi ujue wewe ndiyo huna tija.Niliporuhusu akili yangu kuwaza freely sio kushikiwa na vyama vya kihuni
NakaziaHiyo kamati ya maridhiano inardhiana na Nani? Na iliundwa na Nani? Hiyo kamati ya maridhiano ingekuwa na utu ingekuwa imeisha arodhesha watu wote walio potea na kuuwawa kipindi cha Magufuli. Hapo wangekuwa na nguvu ya kuongelea utu.
Tupimzike SASA maana kama ni Uzi umetembea.....enhee toa route za maandamano tukawakejeli wapigania Uhuru WA taifa starzBasi ujue wewe ndiyo huna tija.
Mbona na yeye ni mboga ya baba wa tajiri nambari moko bongo. Mange alishamsanua huyuAlhad alishamuacha yule shoga aliekuwa anaishi nae?
We lofa misiba yanguvu niipi na mepesi niipi? Akifa nduguyako nimsiba wanguvu au mwepesi? Watanzania wangapi hufa kilasiku nakazi zinaendelea?? Kwani lini imetangazwa tupo mapumziko? Walioko vatikani wamepumzika? Bunge jee?Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa
Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike
Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa
Source Upendo TV
Mlale Unono 😃😃
Sasa matusi kwa shehe na mchungaji yanakusaidia nini?🐼We lofa misiba yanguvu niipi na mepesi niipi? Akifa nduguyako nimsiba wanguvu au mwepesi? Watanzania wangapi hufa kilasiku nakazi zinaendelea?? Kwani lini imetangazwa tupo mapumziko? Walioko vatikani wamepumzika? Bunge jee?
Tumieni vichwa kufikiri mstumie kule kwakutolea 💩
Misiba 3 kitaifa nani na nani😳😳😳😳Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa
Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike
Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa
Source Upendo TV
Mlale Unono 😃😃
Hujui maandamano ni sehemu ya msiba? Huyu aliyefariki haya ni sehemu ya mambo aliyoyataka. Unataka CHADEMA wawe wanafiki kama CCM walikokuwa wanamtukana Lowassa kuwa Ikulu haina bajeti ya mazishi wasijue kuwa Magufuli ndiye angefia Ikulu?Chama kinachojivunia usomi Kwamba kina wasomi kuliko wenzao CCM lakini kina Mambo ya hovyo Sana.
CHADEMA ni wapuuzi na hawajui wanachokipigania.....tuko Kwenye maombolezo wao wanaratibu ujinga wa kuandamana ili iweje?
Lowassa, Msabaha na yule Balozi Mstaafu BuberwaMisiba 3 kitaifa nani na nani😳😳😳😳
Au yule na nanihii tayari...babu..
Kama kamati inaongozwa na sheikh ubwabwa unategemea nini! Hapo am sema hivyo baadae pilau linatia timu kwakeKamati za michongo hazija wahi kuwa na tija kabisa ndani ya taifa hilo zaidi ya matamko ya matukio.
Natamani wewe ndo ungekuwa kwenye huo msiba na ungepigwa ngumi , naimani akili ingekukaa sawa, na vieleele vyenu vya kuuzuria misiba ya mafisadi.Mahusiano yapo maana aliyekufa ni kiongozi wa kitaifa ni muda sahihi kuunganisha wananchi Kwenye shughuli za kitaifa sio siasa na mayowe kila wakati.
Usikute wanapokea mishahara ya serikaliKamati ya amani na maridhiano !!! 🙄🙄
Maridhiano ?!
Hatari sana !Usikute wanapokea mishahara ya serikali
Hatusemi twende wote msibani namaanisha viongozi wa kitaifa watangamane na washirikiane Kwenye Mambo makubwa ya kitaifa. Mbona Kenya wanaweza kwanini Sisi....in short Chadema kuna siasa za visasi na majungu. Bladifakeni.Natamani wewe ndo ungekuwa kwenye huo msiba na ungepigwa ngumi , naimani akili ingekukaa sawa, na vieleele vyenu vya kuuzuria misiba ya mafisadi.
Bladifakeni mwenyewe na ukoo wako wote.Hatusemi twende wote msibani namaanisha viongozi wa kitaifa watangamane na washirikiane Kwenye Mambo makubwa ya kitaifa. Mbona Kenya wanaweza kwanini Sisi....in short Chadema kuna siasa za visasi na majungu. Bladifakeni.