Pre GE2025 Kamati ya Maridhiano ya Taifa yashangaa CHADEMA kufanya Maandamano wakati Taifa lina Misiba mitatu mikubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono 😃😃
Kwa nini na wao wanafanyakazi wakati tuna misiba mitatu mikubwa?
 
Hiyo kamati ya maridhiano inardhiana na Nani? Na iliundwa na Nani? Hiyo kamati ya maridhiano ingekuwa na utu ingekuwa imeisha arodhesha watu wote walio potea na kuuwawa kipindi cha Magufuli. Hapo wangekuwa na nguvu ya kuongelea utu.
Nakazia
 
CCM na Serikali imejitwalia msiba. Hata kumtaja EL kama mgombea wa Chadema mnakwepa. Wamekuja Chadema hamuwatambui hata kuwataja.
 
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono 😃😃
We lofa misiba yanguvu niipi na mepesi niipi? Akifa nduguyako nimsiba wanguvu au mwepesi? Watanzania wangapi hufa kilasiku nakazi zinaendelea?? Kwani lini imetangazwa tupo mapumziko? Walioko vatikani wamepumzika? Bunge jee?
Tumieni vichwa kufikiri mstumie kule kwakutolea 💩
 
Sasa matusi kwa shehe na mchungaji yanakusaidia nini?🐼
 
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono 😃😃
Misiba 3 kitaifa nani na nani😳😳😳😳
Au yule na nanihii tayari...babu..
 
Chama kinachojivunia usomi Kwamba kina wasomi kuliko wenzao CCM lakini kina Mambo ya hovyo Sana.
CHADEMA ni wapuuzi na hawajui wanachokipigania.....tuko Kwenye maombolezo wao wanaratibu ujinga wa kuandamana ili iweje?
Hujui maandamano ni sehemu ya msiba? Huyu aliyefariki haya ni sehemu ya mambo aliyoyataka. Unataka CHADEMA wawe wanafiki kama CCM walikokuwa wanamtukana Lowassa kuwa Ikulu haina bajeti ya mazishi wasijue kuwa Magufuli ndiye angefia Ikulu?
 
Mahusiano yapo maana aliyekufa ni kiongozi wa kitaifa ni muda sahihi kuunganisha wananchi Kwenye shughuli za kitaifa sio siasa na mayowe kila wakati.
Natamani wewe ndo ungekuwa kwenye huo msiba na ungepigwa ngumi , naimani akili ingekukaa sawa, na vieleele vyenu vya kuuzuria misiba ya mafisadi.
 
Hatusemi twende wote msibani namaanisha viongozi wa kitaifa watangamane na washirikiane Kwenye Mambo makubwa ya kitaifa. Mbona Kenya wanaweza kwanini Sisi....in short Chadema kuna siasa za visasi na majungu. Bladifakeni.
 
Bladifakeni mwenyewe na ukoo wako wote.
 
Back
Top Bottom