Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Licha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu

Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji chake kabisa, adhabu hiyo ilistahili kadi nyekundu lakini mwamuzi hakuliona tukio hilo ndo ikawa salama yake

Kamati ya saa 72 ina utaratibu wa kupitia mwenendo wa mchezo na kutambua matukio ambayo mwamzi hakuyatambua Kwa haraka na kutoa adhabu

Kwa kosa la Mpanzu adhabu ni kufungiwa michezo mitatu na faini ya laki 5

Adhabu hizi sio mgeni ashapewa Aucho Kwa kumchezea Gwalala wa Coast union kiwiko licha ya mwamzi kutokuona ila Aucho alifungiwa mechi 3 na faini ya laki 5

Pia Ibrahim Bacca alifungiwa michezo mitatup na faini pia Diara asha adhibiwa na kamati hii

Pia mchezaji wa Prison alivochezea Yao Kousi alipewa adhabu na kamati hii ya saa 72

Utashangaa Kwa tukio hili kamati ya saa 72 italipita kama inaaga maiti
markup_1000148990.png
 
Hao wanajua moto wangu
Huwa nawapinga Kwa hoja wote wanakimbia Jamii forums
Kila la kheri mkuu, kama kuna kahawa karibu hapo kunywa kabisa itakusaidia kufukuza usingizi, maana naona hasira za simba na inter kuchana majamvi yao, watakuja wazimalizie kwako,mutakesha humu.
 
Kila la kheri mkuu, kama kuna kahawa karibu hapo kunywa kabisa itakusaidia kufukuza usingizi, maana naona hasira za simba na inter kuchana majamvi yao, watakuja wazimalizie kwako,mutakesha humu.
Hao hawawezi
 
Kupitia hiyo picha, nadhani uko sahihi. Rafu kama hiyo ni ya kumvunja mtu mguu, jambo ambalo kwenye mpira wa miguu halikubaliki. Na uzuri umetoa na ushahidi. Ngoja tusubiri tuone kama hiyo kamati itasimamia haki, au itakengeuka kwa sababu huyo mchezaji anacheza kwenye timu kipenzi cha TFF na Bodi ya ligi.
 
Simple Logic. Jitahidi kuficha upumbavu wako.

Kama mpanzu alionyeshwa kadi ya njano kamati huwa haihusiki tena kwenye adhabu nyingine yoyote kwa mchezaji.

Ila kama mchezaji asingeonyweshwa kadi na Mwamuzi ndio angepigwa rungu na kamati


Mbona ni elimu ndogo sana hii muwe mnapitia kanuni.
Sio kushabikia simba na yanga tu.

Usijivue nguo kuonyesha tupu yako hadharani
 
Simple Logic. Jitahidi kuficha ujinga.
Kama mpanzu asinheonyeshwa kadi ya njano ndio anhekula hizo adhabu za kamati.


Mbona ni elimu ndogo sana hii.
Usijivue nguo kuonyesha tupu yako.
Mediocre
 
Simple Logic. Jitahidi kuficha upumbavu wako.

Kama mpanzu alionyeshwa kadi ya njano kamati huwa haihusiki tena kwenye adhabu nyingine yoyote kwa mchezaji.

Ila kama mchezaji asingeonyeshwa kadi na Mwamuzi ndio angepigwa rungu na kamati


Mbona ni elimu ndogo sana hii muwe mnapitia kanuni.
Sio kushabikia simba na yanga tu.

Usijivue nguo kuonyesha tupu yako hadharani
 
Hiyo kamati inafanyaje kazi zake?.Je nikwamatukio yaliyoadhibiwa uwanjani na refa kwakuona adhabu ambayo imetolewa na refa ni ndogo au ni matukio ambayo refa hakuyatolea adhabu kabisa?.
 
Hiyo kamati inafanyaje kazi zake?.Je nikwamatukio yaliyoadhibiwa uwanjani na refa kwakuona adhabu ambayo imetolewa na refa ni ndogo au ni matukio ambayo refa hakuyatolea adhabu kabisa?.
Bora hata wewe umeuliza swali tunaweza kukusaidia.


Kamati ya Masaa 72 (pia hujulikana kama Kamati ya Nidhamu ya TFF) haiwezi kumpa mchezaji adhabu ya ziada kwa tukio ambalo tayari limeamuliwa na mwamuzi kwa kumpa kadi ya njano, isipokuwa kama kuna mazingira maalum ya kipekee.

TFF na Kanuni za Kamati ya Masaa 72:​

Katika muktadha wa Tanzania, Kamati ya Masaa 72 inafanya kazi chini ya Kanuni za Nidhamu za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), na hujikita kwenye matukio ambayo:
  1. Hayakuonekana au kushughulikiwa ipasavyo na waamuzi wakati wa mchezo.
  2. Yamekuwa ya kinidhamu zaidi, kama vile tabia zisizo za kiungwana, matumizi ya lugha chafu, au vitendo vya vurugu nje ya uamuzi wa mwamuzi.
  3. Yanahitaji kuangaliwa upya kupitia ripoti ya kamishna, ripoti ya waamuzi, au video ya mchezo.

Kwa hiyo:​

  • Kama mchezaji amepewa kadi ya njano, kwa mujibu wa Kanuni za FIFA na TFF, kamati ya Masaa 72 haiwezi kubadilisha uamuzi huo wala kuongeza adhabu, isipokuwa:
    • Tukio lililotoa kadi ya njano lilihusisha kitendo kizito zaidi (mfano: tukio la vurugu ambalo lilipaswa kuwa kadi nyekundu).
    • Kuna ushahidi wa video unaoonyesha kuwa mwamuzi alikosea kwa kiwango kikubwa.
    • Au kuna matukio mengine tofauti na lile lililohusiana na kadi yaliyoambatana nayo.

Rejea:​

  • Fifa Disprinary
  • TFF.
 
Back
Top Bottom