KWELI SIOSio kweli
Nipunguzie UZUZU...Umbumbumbu utakutoka lini wewe mtoto?
Wewe ni ZUZU namba moko hapa jukwaani na JF kwa ujumlaWewe ndo mbumbumbu nambari 1 hapa jukwaani
SIMBA TOP 5 IN AFRICAHaya nenda huko ukaombeleze RS Berkane
Pamoja na adhabu hizo tajwa, naomba iambatane na kuomba msamaha hadharani kwa wapenda soka wote nchini kwa kufanya kosa ambalo hata mnyama hawezi kumfanyia mnyama mwenzie.Licha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu
Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji chake kabisa, adhabu hiyo ilistahili kadi nyekundu lakini mwamuzi hakuliona tukio hilo ndo ikawa salama yake
Kamati ya saa 72 ina utaratibu wa kupitia mwenendo wa mchezo na kutambua matukio ambayo mwamzi hakuyatambua Kwa haraka na kutoa adhabu
Kwa kosa la Mpanzu adhabu ni kufungiwa michezo mitatu na faini ya laki 5
Adhabu hizi sio mgeni ashapewa Aucho Kwa kumchezea Gwalala wa Coast union kiwiko licha ya mwamzi kutokuona ila Aucho alifungiwa mechi 3 na faini ya laki 5
Pia Ibrahim Bacca alifungiwa michezo mitatup na faini pia Diara asha adhibiwa na kamati hii
Pia mchezaji wa Prison alivochezea Yao Kousi alipewa adhabu na kamati hii ya saa 72
Utashangaa Kwa tukio hili kamati ya saa 72 italipita kama inaaga maitiView attachment 3352246
Jinyonge na big jiii....Top 5 haimo
Hilo timu la mambumbumbu tu
Mpira una mengi, kuna maksudi na bahati mbayaLicha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu
Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji chake kabisa, adhabu hiyo ilistahili kadi nyekundu lakini mwamuzi hakuliona tukio hilo ndo ikawa salama yake
Kamati ya saa 72 ina utaratibu wa kupitia mwenendo wa mchezo na kutambua matukio ambayo mwamzi hakuyatambua Kwa haraka na kutoa adhabu
Kwa kosa la Mpanzu adhabu ni kufungiwa michezo mitatu na faini ya laki 5
Adhabu hizi sio mgeni ashapewa Aucho Kwa kumchezea Gwalala wa Coast union kiwiko licha ya mwamzi kutokuona ila Aucho alifungiwa mechi 3 na faini ya laki 5
Pia Ibrahim Bacca alifungiwa michezo mitatup na faini pia Diara asha adhibiwa na kamati hii
Pia mchezaji wa Prison alivochezea Yao Kousi alipewa adhabu na kamati hii ya saa 72
Utashangaa Kwa tukio hili kamati ya saa 72 italipita kama inaaga maitiView attachment 3352246
Of course you areTrue definition of wasted Sperms..............
Bila shaka zuzu...Hakika ww ni mbumbumbu
Huo ni uongo kuna Wachezaji waliomyeshwa Kadi na bado hiyo Kamati ya masaa 720 ikawaongezea adhabu.Simple Logic. Jitahidi kuficha upumbavu wako.
Kama mpanzu alionyeshwa kadi ya njano kamati huwa haihusiki tena kwenye adhabu nyingine yoyote kwa mchezaji.
Ila kama mchezaji asingeonyweshwa kadi na Mwamuzi ndio angepigwa rungu na kamati
Mbona ni elimu ndogo sana hii muwe mnapitia kanuni.
Sio kushabikia simba na yanga tu.
Usijivue nguo kuonyesha tupu yako hadharani
Hapo juu pameelekeza vizuri sana. No.1 HAYAKUONEKANA AU KUSHUGHULIKIWA IPASAVYO". Hili la Mpanzu linaingia hapo kwenye kipengele cha hayakushuhhulikwa ipasavyo na imewahi kutokea Kwa Chama na Dickson Job.Bora hata wewe umeuliza swali tunaweza kukusaidia.
Kamati ya Masaa 72 (pia hujulikana kama Kamati ya Nidhamu ya TFF) haiwezi kumpa mchezaji adhabu ya ziada kwa tukio ambalo tayari limeamuliwa na mwamuzi kwa kumpa kadi ya njano, isipokuwa kama kuna mazingira maalum ya kipekee.
TFF na Kanuni za Kamati ya Masaa 72:
Katika muktadha wa Tanzania, Kamati ya Masaa 72 inafanya kazi chini ya Kanuni za Nidhamu za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), na hujikita kwenye matukio ambayo:
- Hayakuonekana au kushughulikiwa ipasavyo na waamuzi wakati wa mchezo.
- Yamekuwa ya kinidhamu zaidi, kama vile tabia zisizo za kiungwana, matumizi ya lugha chafu, au vitendo vya vurugu nje ya uamuzi wa mwamuzi.
- Yanahitaji kuangaliwa upya kupitia ripoti ya kamishna, ripoti ya waamuzi, au video ya mchezo.
Kwa hiyo:
- Kama mchezaji amepewa kadi ya njano, kwa mujibu wa Kanuni za FIFA na TFF, kamati ya Masaa 72 haiwezi kubadilisha uamuzi huo wala kuongeza adhabu, isipokuwa:
- Tukio lililotoa kadi ya njano lilihusisha kitendo kizito zaidi (mfano: tukio la vurugu ambalo lilipaswa kuwa kadi nyekundu).
- Kuna ushahidi wa video unaoonyesha kuwa mwamuzi alikosea kwa kiwango kikubwa.
- Au kuna matukio mengine tofauti na lile lililohusiana na kadi yaliyoambatana nayo.
Rejea:
- Fifa Disprinary
- TFF.
Huyo dogo hana analolijuaHapo juu pameelekeza vizuri sana. No.1 HAYAKUONEKANA AU KUSHUGHULIKIWA IPASAVYO". Hili la Mpanzu linaingia hapo kwenye kipengele cha hayakushuhhulikwa ipasavyo na imewahi kutokea Kwa Chama na Dickson Job.