Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

Licha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu

Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji chake kabisa, adhabu hiyo ilistahili kadi nyekundu lakini mwamuzi hakuliona tukio hilo ndo ikawa salama yake

Kamati ya saa 72 ina utaratibu wa kupitia mwenendo wa mchezo na kutambua matukio ambayo mwamzi hakuyatambua Kwa haraka na kutoa adhabu

Kwa kosa la Mpanzu adhabu ni kufungiwa michezo mitatu na faini ya laki 5

Adhabu hizi sio mgeni ashapewa Aucho Kwa kumchezea Gwalala wa Coast union kiwiko licha ya mwamzi kutokuona ila Aucho alifungiwa mechi 3 na faini ya laki 5

Pia Ibrahim Bacca alifungiwa michezo mitatup na faini pia Diara asha adhibiwa na kamati hii

Pia mchezaji wa Prison alivochezea Yao Kousi alipewa adhabu na kamati hii ya saa 72

Utashangaa Kwa tukio hili kamati ya saa 72 italipita kama inaaga maitiView attachment 3352246
Yeye ameshachezewa rafu ngapi mbaya na ukanyamaza tu kama umejaza senene mdomoni?
 
Mi milijua uko serious kumbe ni utoto wa kutaka kukwepana kwenye mechi ya simba na Yanga.

Nimepoteza muda wangu bure ku comment
 
Mi milijua uko serious kumbe ni utoto wa kutaka kukwepana kwenye mechi ya simba na Yanga.

Nimepoteza muda wangu bure ku comment
Wewe jobless huwa una panic sana
Huna uelewa wowote kwenye football
 
Simba top 5 ranking club in Africa
Ndo ukiwa wa 5 kwenye rankings kukubali Yanga akufunge mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
 
Back
Top Bottom