Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Wewe ndiye kamisaa?Licha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu
Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji chake kabisa, adhabu hiyo ilistahili kadi nyekundu lakini mwamuzi hakuliona tukio hilo ndo ikawa salama yake
Kamati ya saa 72 ina utaratibu wa kupitia mwenendo wa mchezo na kutambua matukio ambayo mwamzi hakuyatambua Kwa haraka na kutoa adhabu
Kwa kosa la Mpanzu adhabu ni kufungiwa michezo mitatu na faini ya laki 5
Adhabu hizi sio mgeni ashapewa Aucho Kwa kumchezea Gwalala wa Coast union kiwiko licha ya mwamzi kutokuona ila Aucho alifungiwa mechi 3 na faini ya laki 5
Pia Ibrahim Bacca alifungiwa michezo mitatup na faini pia Diara asha adhibiwa na kamati hii
Pia mchezaji wa Prison alivochezea Yao Kousi alipewa adhabu na kamati hii ya saa 72
Utashangaa Kwa tukio hili kamati ya saa 72 italipita kama inaaga maitiView attachment 3352246
Pelekeni timu Kigali huko. Mnamuogopa Mpanzu