Sidhani kama utaweza kuwaelimisha wale watu wanaoitwa "triple mbu".Hao nitapambana nao tu
Hata waje 100 hapa nitawajibu
Kila la kheri mkuu, kama kuna kahawa karibu hapo kunywa kabisa itakusaidia kufukuza usingizi, maana naona hasira za simba na inter kuchana majamvi yao, watakuja wazimalizie kwako,mutakesha humu.Hao wanajua moto wangu
Huwa nawapinga Kwa hoja wote wanakimbia Jamii forums
Wewe hata wakupe dawa gani huwezi kuponaSimple Logic. Jitahidi kuficha ujinga.
Kama mpanzu asinheonyeshwa kadi ya njano ndio anhekula hizo adhabu za kamati.
Mbona ni elimu ndogo sana hii.
Usijivue nguo kuonyesha tupu yako.
You're good for nothing! At this age? You must be hallucinatingMediocre
Another Neck supporting an Empy coconut head.Wewe hata wakupe dawa gani huwezi kupona
Bora hata wewe umeuliza swali tunaweza kukusaidia.Hiyo kamati inafanyaje kazi zake?.Je nikwamatukio yaliyoadhibiwa uwanjani na refa kwakuona adhabu ambayo imetolewa na refa ni ndogo au ni matukio ambayo refa hakuyatolea adhabu kabisa?.