Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

Una akili ndogo
 
Uoga wa kumkabili Mpanzu hapo June 15 umeshaanza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwamuzi tukio hakuliona Kwa ukubwa wake ndo maana akatoa adhabu ndogo ya kadi ya njano
Hata tukio la Aucho kumpiga kiwiko Gwalala alipewa yellow card ila baada ya kamati ya saa 72 kujiridhisha ikatoa adhabu ya kufungiwa mechi 3 na faini ya laki 5
 
Adhabu za aina hiyo zipo kwenye makaratasi, lakini uhalisia haziwahusu NYAU.
RE
 
Adhabu za aina hiyo zipo kwenye makaratasi, lakini uhalisia haziwahusu NYAU.
RE
 
Hapewi adhabu na atakuwapo June 15.
Vipi Aziz Ki, atakuwapo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunajua hawezi kupewa shoga yenu Karia hawezi kukubali mchezaji wa 5imba apate adhabu
 
Ukimaliza hapo tuambie na kanuni iliyotumika kuahilishwa mechi ya tarehe 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…