Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

Nadhani umeishiwa hoja kama mwanasheria wa Yanga πŸ˜ƒ
Sio kama 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
 
Yeye ameshachezewa rafu ngapi mbaya na ukanyamaza tu kama umejaza senene mdomoni?
 
Mi milijua uko serious kumbe ni utoto wa kutaka kukwepana kwenye mechi ya simba na Yanga.

Nimepoteza muda wangu bure ku comment
 
Mi milijua uko serious kumbe ni utoto wa kutaka kukwepana kwenye mechi ya simba na Yanga.

Nimepoteza muda wangu bure ku comment
Wewe jobless huwa una panic sana
Huna uelewa wowote kwenye football
 
Simba top 5 ranking club in Africa
 
Simba top 5 ranking club in Africa
Ndo ukiwa wa 5 kwenye rankings kukubali Yanga akufunge mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…