Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

Pamoja na adhabu hizo tajwa, naomba iambatane na kuomba msamaha hadharani kwa wapenda soka wote nchini kwa kufanya kosa ambalo hata mnyama hawezi kumfanyia mnyama mwenzie.
 
Pamoja na adhabu hizo tajwa, naomba iambatane na kuomba msamaha hadharani kwa wapenda soka wote nchini kwa kufanya kosa ambalo hata mnyama hawezi kumfanyia mnyama mwenzie.
Una akili nyingi mkuu
 
Mpira una mengi, kuna maksudi na bahati mbaya
 
Huo ni uongo kuna Wachezaji waliomyeshwa Kadi na bado hiyo Kamati ya masaa 720 ikawaongezea adhabu.
 
Hapo juu pameelekeza vizuri sana. No.1 HAYAKUONEKANA AU KUSHUGHULIKIWA IPASAVYO". Hili la Mpanzu linaingia hapo kwenye kipengele cha hayakushuhhulikwa ipasavyo na imewahi kutokea Kwa Chama na Dickson Job.
 
Huyo dogo hana analolijua
Matukio ambayo hayabadilishwi ni matokeo ya mchezo tu
Hata mchezaji anaweza kupewa red card kamati ya saa 72 ikabatilisha
Au akapewa adhabu ndogo ya kadi ya njano, kamati ya saa 72 ikaongeza adhabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…