Kamau: Rais Magufuli adhibitiwe na EAC, amevuka mipaka!

Mungu mbariki Kamau
 
Linanunulika sana hilo la Tanzanite kika siku copy zake zinaisha nenda pale Mnara wa Askari waulize wauza magazeti watakuambia magazeti yanayonunuliwa sana la kwanza ni Mwananchi then Tanzanite!
Tanzanite hata Pale Ofisi za CCM Arusha huwezi kulikuta,linadharaulika mpk na walinzi wa pale.

dodge
 
Hawa jui kiswahili full stop...
 
Maguvuli is the best president ever happened in the history of tanzania. Na hatutapata rais kama huyu in the next years to come. Binadam kama magufuli hutokea mara chache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna gazeti linalodharauliwa na Wakenya kama Taifa leo, nimefika huko mara nyingi, huwa nikinunua hilo Gazeti wananishangaa na kunicheka sana, hivyo hiyo siyo newsworthy kwa Mkenya.
Your understanding is tooo low, stop attacking the MEDIUM, focus on the message not the messager
 
Your understanding is tooo low, stop attacking the MEDIUM, focus on the message not the messager


Unafikiri mlengwa wa hilo Gazeti ni nani huko Kenya? Kila Habari mlengwa wake. Hakuna Mkenya wowote wa maana anayesoma Taifa Leo, hivyo habari yoyote inayoandikwa humo ni kama haina maana!
 
Hakuna gazeti linalodharauliwa na Wakenya kama Taifa leo, nimefika huko mara nyingi, huwa nikinunua hilo Gazeti wananishangaa na kunicheka sana, hivyo hiyo siyo newsworthy kwa Mkenya.
Kama la Tanzanite na Uhuru
 
Huu uzi wa huyu mwandishi sijui somebody kamau ni mfumo ule ule wa kina the economist.
Hakuna jipya hapa bali ni muendelezo wa makala kuandaliwa Tanzania na kina Zitto & the company.

Nakuomba kamau kama ulivyojiita usishugurike na matatizo ya huko kwenyu!

Mfano !

Handshake kati ya Uhuru na kenyatta.(inavyotaka kuligawa taifa lenu kisa mgombea urais ruto)

The arrival or comeback ya General miguna wa miguna.

Vita ya mgombea urais wa ahadi kati ya wawili hawa uhuru na mkalenjin Ruto.

Manyanyaso na udhalilishaji dhidi ya governor wa Nairobi Bw Sonko.(kisa anatetea ardhi na wanyonge wa Nairobi)

Pia mfanye uchunguzi muiambie dunia na familia ya marehemu msando,nani alimuua mtu huyo muhimu kutoka IEBC,siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa kenya!

Pia ni wakati wa kuandika na kuishauri serikali yenu jinsi ya kuwalipa wachina mkopo wa SGR ya mombasa to naivasha.(magufuli kwa asilimia kubwa amejenga kwa fedha ya ndani)

Pia poleni na kubanwa na al shabab kule lamu,hivyo geuza uandishi na muisaidie serikali yenu jinsi ya kuepukana na hilo janga la usalama wa ndani ya kenya.

Ukishatuambia hayo ndio uje upewe hela yako toka kwa hii team kambole na zitto.

Tanzania ni nchi huru na inapaswa kuheshimiwa maamuzi yake ya ndani.yanayokuwepo kikatiba.

Na tunaposema EAC,hatuna lengo kama unalolenga wewe unayejiita kamau.

Viva magufuli [emoji1241] 2020 - 2025 [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukua English nayo ni sifa Kenya? I thought they are better
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamau anatakiwa ajuwe ukubwa wa tatizo la EA, ni kubwa, Tz ni member mpya kwenye mambo hayo. Kuna vinara kama Rwanda, Burundi, Uganda na pale Juba ni shida tupu.
 
Swala muhimu ni contents. Hao wanajua Kingereza labda tayari wanayajua hayo hivyo sasa na hao wa daraja la chini kama unavyodai wewe nao ndiyo kwanza wanahabarishwa.
 
Tanzanite hata Pale Ofisi za CCM Arusha huwezi kulikuta,linadharaulika mpk na walinzi wa pale.

dodge
Engekuwa hivyo lisingeendea kutoka kila siku! Endelea kujidanganya kwanza wewe hata pesa ya kununua gazeti utapata wapi wakati ni kula kulala??
 
I think they should speed up this program

Don't forget his gvt is cooking data
 
Labda wanakuzidi wewe. Acha tabia ya kuwa msemaji wa wote, unaelewa?
Mimi hadi itokee nikuelewe nishakuwa tahira vinginevyo sahau.
Nchi yako inawazidi nini wakenya na Kenya yao?
.
Taifa lako lina kidaraja cha mfugale pale wao wana Flyovers hadi Kisumu 😝 achilia mbali za Nairobery.
Labda ukapuku na ungumbaru ndio mnawazidi
 
Huyo ametaka tu kubadilisha mada, na amefaulu, nyote mumeishia kujadili gazeti.
Hahahaha! Nilitaka tu uthibitisho ili adhalilike mwana Lumumba huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…