Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

Jumah JR

Senior Member
Joined
Oct 25, 2023
Posts
129
Reaction score
188
Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo.
Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali.

Kutokana na idadi kubwa ya waombaji ikilinganishwa na nafasi zilizopo, ushindani unatarajiwa kuwa mkali. Hivyo, ni muhimu kwa waombaji kujipanga na kujiandaa vyema.
 
Ni huzuni mkuu hapo kwa kila kada haraka harak nafasi 1 inagombaniwa na zaidi ya watu 10+
SIO 10+ NI 80+ HILA HAPO KUNA WATU PIA WAMEOMBA POST ZAIDI YA MOJA MTU KILA ANAPOONA ANA FIT ANAOMBA UNAKUTA MTU ANATOKEA MARA TATU ,MUNGU AWASAIDIE MAANA HAPO KUITWA TU KWENYE HYO INTERVIEW NI BAHATI MAANA SIDHANI KM WATAITA WOTE WALIOOMBA
 
Hivi ukiomba Post zaidi ya Moja hawawez kukukata kweny shortlist??
 
Nikikumbuka ile written interview ya TRA mwaka 2023 pale CIVE UDOM nikafanyiwa figisu. Safari hii kubabake kitaeleweka tu. Ngoja nizidishe dua na maombi hasa mwezi huu mtukufu.
Walikufanyia figisu gan mkuu?? em tupe experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…