Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

Waombaji 135,027 kwa nafasi 1,596

Ajira ni tatizo kubwa.
Kuna kundi kubwa la watu walio na ajira sehemu nyingine wanataka kuingia TRA, marafiki zangu wote walio apply hizi nafasi, wameajiriwa sehemu nyingine kwenye makampuni binafsi, ila wanataka kuingia TRA. Sio kweli hyo idadi ni ya watu wasio na ajira kabisa ila haimaanishi kwamba Tanzania hakuna tatizo la ajira.
 
TAMISEMI walioomba huko Ni maelfu.
 
Jiandaeni kisaikolojia,kosa dogo sijui hukucertify cheti unaliwa kichwa.
 

Attachments

  • IMG-20250312-WA0174.jpg
    68 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…