Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
yule siyo mteule wa raisi yule ni mshabiki wa mpiraIle kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
Hakuna Kesi hapo alitumia Ambiguous words, huyo Mkuu wa mkoo matokeo ya Tabora na Simba yalimchanganya.Ile kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
Ukaoshe vombo na vyoo halafu uwarisishe familia kufua nguo nankukaa na vizeeNchi ya vihoja bora nikaishi Canada na familia yangu.
kwanini RC asiitwe PCCB kutoa ushahidi wa rushwa na athibitishe?Nchi ya vihoja bora nikaishi Canada na familia yangu.
Kwahiyo mtu akiajiriwa kwenye timu za mpira akafanya kosa la jinai polisi hawaruhusiwi kuingilia kisa watakua wanaingilia mpira?ππππ wapuuzi tu .... Yaan mkuu wa mkoa atoe shutuma dhidi ya Yanga afu Alli Kamwe amjibu kwa kauli laini?. Wanaopoteza muda wao hao polisi... Wanashindwa kutatua mambo ya msingi kwa jamii anajiingiza kwenye mambo ya mpira usiowahusu?.
Dogo hana tatizo...Kijana yupo stage ya balehe
Unajua kosa la jinai ni lipi?, Na kosa alilokamatiwa Kamwe ni lipi?. Umeshirikisha ubongo kuuliza au umechemka kwasababu unahema?.Kwahiyo mtu akiajiriwa kwenye timu za mpira akafanya kosa la jinai polisi hawaruhusiwi kuingilia kisa watakua wanaingilia mpira?
Acha kuhusisha mama za watu na mambo ya mpira.... Usingle maza wa mama yake unahusikaje hapa... Unatokonyolewa wewe .bataDogo hana tatizo...
Tatizo lipo kwa hao waliompa kazi pasipo kupima afya ya akili yake ilivyo.
Mwacheni kijana aliyelelewa na single parent awanyooshe utopwinyo π
Hahahaaa kumbe we upinde πππAcha kuhusisha mama za watu na mambo ya mpira.... Usingle maza wa mama yake unahusikaje hapa..njoo unitokonyoe mie gay
Wajinga wengi huko mkoani.Hii ndio kauli ya kupelekea mtu kukamatwa na polisi??
Naona umeanza kutoa siri za biashara zako... Unavyofokonyolewa hapo ARUSHA na wazungu ππ. Vipi nikuletee kirungu nikipishe kipenyoni mwakoHahahaaa kumbe we upinde πππ
Madogo mkishapata hela ya kununua smartphone na kuweka Bundle basi mnajifanya wanasheriaUnajua kosa la jinai ni lipi?, Na kosa alilokamatiwa Kamwe ni lipi?. Umeshirikisha ubongo kuuliza au umechemka kwasababu unahema?.
Wapelekee hao wazungu wako hicho kitoboNimekupa siri za biashara yangu.. Ninafokonyolewa hapa ARUSHA na wazungu and I love big dusherere ππ. Vipi una big dusherere nikuletee kinyeo unikaze babaangu?
Njoo ukiletee kipenyo chako...maana tunawajua wameru kwa kupenda pombe za bure huku mnatekenywa mkqundu yenuππWapelekee hao wazungu wako hicho kitobo
πππ Mwanasheria wa NIT.... Hizo kauli alizotoa ni zipi?, Aliyeanza kutoa kauli za kichochezi ni nani?. Mkuu wa mkoa kutoa shutuma ya rushwa dhidi ya Yanga sio uchochezi dhidi ya wapenda mpira?. Punguza mihemkoMadogo mkishapata hela ya kununua smartphone na kuweka Bundle basi mnajifanya wanasheria
Ali kamwe kavunja sheria kwa kutoa maneno ya chuki na kudharau uteuzi wa Rais ambayo ni mamlaka halali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Hiyo ni Nia ya kufanya uchochezi na ni jinai kwa mijibu wa Section 55(a) Cap 16 R.E 2022